Rasmi nimeacha pombe, zinaleta roho za kimasikini. Usiingie kwenye uraibu huo

Rasmi nimeacha pombe, zinaleta roho za kimasikini. Usiingie kwenye uraibu huo

Screenshot_20250309_161919_Facebook.jpg
 
Kwema wakuu baada ya kutumia pombe kwa kipindi cha miaka 11 tarehe 7.3.2025 nimeacha pombe Rasmi na pia nachagua Marafiki ambao hawanywi pombe bahati nzuri Mpenzi wangu Hanywi Pombe

Nakushauri acha pombe.
🤣😂🤣
 
Kuna kipindi nlikaa mbali na Hiko kinywaji kama miezi sita hivi siku hiyo jioni jioni nikawa nahis kama kiu sio kiu nikawa nahis kama Kuna ratiba sijafanya hivi nikakosa utulivu.....nikaboost kidogo aiseee akili ilitulia mwili ukajiskia vizuri
 
Back
Top Bottom