Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah,labda uwe mraibu wa pombe.Pombe inatajirisha wengine ni jinsi unavyoitumia tu.
Yaan kitu unavyokiacha usitangaze,piga kimyakimya utatoboaMimi nilijitahidi mara nyingi kuachana na huyu mnyama pombe na kuandika nyuzi nyingi kuhusu madhara ya pombe lakini wapi? Nimejifunza kuishi naye kwa akili kama unavyoishi na mke! Sasa hivi nammudu!