Rasmi nimeamua kuachana na betting. Kubet ni kutafuta umasikini na ufukara

Mkuu umeongea kwa uchungu sana inaonekana umesulubiwa sana kama mimi.[emoji23]
Mkuu Acha Tuu Yaani Najiuliza Serikali hazioni Hili Kama Ni janga Kuliko Hata Madawa ya Kulevya??? Nilichogundua Ni Rahisi Sana Kuacha Ulevi wowote Lakini Siyo Kamari...
 
Mkuu Acha Tuu Yaani Najiuliza Serikali hazioni Hili Kama Ni janga Kuliko Hata Madawa ya Kulevya??? Nilichogundua Ni Rahisi Sana Kuacha Ulevi wowote Lakini Siyo Kamari...
Kamari unaacha tu sababu hata ukiwa huna hela huwezi kuiba ili ubeti!
 
Kamari unaacha tu sababu hata ukiwa huna hela huwezi kuiba ili ubeti!
Mkuu Hujaingia Deep naongea Kutoka Experience......!! Nimeshuhudia Mjeshi wa Nyota Tatu akiuza Friji na Kitanda Ili akacheze Kamari... Nimeshuhudia Watu wazima na Familia zao wakicheza Mshahara Wote Familia zinalala Njaa... Aisee acha Tuu.... Hili Ni Janga Kubwa kuliko Unga... Ni vile athari zake hazionekani kwa Haraka maana Mtu anagugumia Maumivu ndanikwa Ndani... Tafuta Documentary Moja Ya BBC Wameonesha Athari za Hi kitu nadhani ilikuwa Uganda... Watu wameuza Hadi Nyumba Na Wameishia Kujiua....
Kama Haushiriki Mshukuru Sana Muumba wako na Pia Jiweke Mbali kabisa Na KAMWE USIJARIBU.....!!!
 
Dah mi nafanya hii mambo ila sio kwa extent ya kujidhuru mwenyewe! Kama pesa nimepoteza ni nyingi ila sio kwa extent ya kuuza nyumba na gari hela ikikata naachaga!!!
 
Dah mi nafanya hii mambo ila sio kwa extent ya kujidhuru mwenyewe! Kama pesa nimepoteza ni nyingi ila sio kwa extent ya kuuza nyumba na gari hela ikikata naachaga!!!
Mkuu Jitahidi uache Kabisa...Huwa inavuta kidogo kidogo.... Naona Hujafika Stage mbaya... Ni Kama vile mashetani... Unajistukia umezama...
 
Very true[emoji122]
 
[emoji16][emoji16][emoji16]wengi ndoa zao ziko matatani...nimelishuhudia hili
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787]

Ila we jamaa hunaga aibu
 
Wakuu kutokana na mafanikio na hasara mlizopata kupitia hiyo Betting je would you recommend wengine ambao hawaijui kujaribu bahati zao ama tusiingie kabisa huko? Hizo wins zinatamanisha ila pia hivo vipigo mmh[emoji848]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji122]
 
Dah ligi niliokuwa napigia hela imehairishwa yani nimeumia sana duh! India huko Covid imezingua mchezo umekuwa Suspended!

Ntakuelekeza lakini atleast!
Yes please....nataka utajiri[emoji848][emoji848]
 
Shukrani mkuu, ushauri mzuri sana.
Sometimes betting inaenda na upepo
 
Mimi huwa naamini kila kitu maishani ni kamari. Hivyo betting nitaacha siku wao wakiacha
Nina rekodi ya kuliwa 4.9mil baada ya Chelsea kudraw.
Nina Rekodi ya kupiga 10mil stake 250K
like wise to me broh!!! mimi huwa nacheza ngumu kumeza tu jackpot.mpka sasa nilisha wahi wapiga betpawa 10 milion kwa kupatia mechi 15 kati ya 17. pia nina rekodi ya kupatia mechi 14 kati ya 17 tena mara 2. ninacho amini sio kila mtu hili game linaweza mkubali!!!
 
Yule mwana aliyepiga mil.500 sport pesa akiona unaharisha humu anaweza kukuchapa na manati ya mzungu

Kama we umechemka wacha sie tuendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…