Rasmi nimeligundua hili, Mungu na Shetani hawapo: Dini ni utapeli

Kutumia Quran kama uthibitisho wa uwepo wa Mungu ni sawa na kutumia Comic book kusema ndio uthibitisho wa uwepo wa Harry Potter.


Surah Al-Muuminuna: Ayah 67

مُسۡتَكۡبِرِينَ بِهِۦ سَٰمِرٗا تَهۡجُرُونَ
Na huku mkitakabari na usiku mkiizungumza (Qur’ani) kwa dharau.
 
Surah Al-Mur'salaat: Ayah 20

أَلَمۡ نَخۡلُقكُّم مِّن مَّآءٖ مَّهِينٖ
Kwani hatukukuumbeni kwa maji ya kudharauliwa?
 
Endelea kujaza server za JF na mistari yako ya Quran.
 
Kutumia Quran kama uthibitisho wa uwepo wa Mungu ni sawa na kutumia Comic book kusema ndio uthibitisho wa uwepo wa Harry Potter.


Surah Al-Baqarat: Ayah 170

وَإِذَا قِيلَ لَهُمُ ٱتَّبِعُواْ مَآ أَنزَلَ ٱللَّهُ قَالُواْ بَلۡ نَتَّبِعُ مَآ أَلۡفَيۡنَا عَلَيۡهِ ءَابَآءَنَآۚ أَوَلَوۡ كَانَ ءَابَآؤُهُمۡ لَا يَعۡقِلُونَ شَيۡ‍ٔٗا وَلَايَهۡتَدُونَ
Na wanapo ambiwa: Fuateni aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu; wao husema: Bali tutafuata tuliyo wakuta nayo baba zetu. Je, hata ikiwa baba zao walikuwa hawaelewi kitu, wala hawakuongoka?

Surat Al-Baqarah, Aya ya 170:"Na wanapoambiwa: 'Fuateni aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu!' Husema: 'Bali tutafuata tuliyowakuta nayo baba zetu.' Je! Hata kama baba zao walikuwa hawafahamu chochote wala hawakuwa na mwongozo?"

Aya hii inawasilisha hoja ya kutofuata mapokeo bila kutumia akili na busara. Wapagani walikuwa wakikataa mwongozo wa Mwenyezi Mungu kwa sababu walikuwa wanashikilia desturi na mila za mababu zao. Hii inaonyesha upungufu katika kufikiria kwao, kwani wanapuuza mwongozo wa Mwenyezi Mungu na badala yake wanashikilia desturi zisizokuwa na misingi. Ni wito wa kutumia akili na kufuata mwongozo sahihi badala ya kufuata tu mapokeo bila kufikiria.
 
Kutumia Quran kama uthibitisho wa uwepo wa Mungu ni sawa na kutumia Comic book kusema ndio uthibitisho wa uwepo wa Harry Potter.
Maudhui na Madhumuni:

Quran: Quran inajulikana kama kitabu kitakatifu katika Uislamu, inayodhaniwa kuwa ni neno la Mungu lililofunuliwa kwa Mtume Muhammad (SAW) kupitia Malaika Jibril. Ina miongozo ya kiroho, kimaadili, na kisheria kwa Waislamu.

Harry Potter: Mfululizo wa Harry Potter ni hadithi za kubuni zilizoandikwa na J.K. Rowling, zinazokusudiwa kuwa za burudani na kufurahisha, zikisahihisha maisha ya mwanafunzi mchawi na marafiki zake.
 
Kutumia Quran kama uthibitisho wa uwepo wa Mungu ni sawa na kutumia Comic book kusema ndio uthibitisho wa uwepo wa Harry Potter.
Historia na Athari:

  • Quran: Quran imekuwapo kwa zaidi ya miaka 1,400 na ina athari kubwa katika dini, utamaduni, na historia ya watu wengi. Imejengwa juu ya mila na historia ndefu ya Imani za Abrahamu.
  • Harry Potter: Harry Potter ni mfululizo wa kisasa wa vitabu uliochapishwa kwa mara ya kwanza mnamo miaka ya 1990 na 2000, na umeleta athari kubwa katika tamaduni za kisasa na burudani lakini ni hadithi za kubuni.
 
 
Kutumia Quran kama uthibitisho wa uwepo wa Mungu ni sawa na kutumia Comic book kusema ndio uthibitisho wa uwepo wa Harry Potter.
Jinsi zinavyotumika:

Quran: Inatumika kama mwongozo wa kiroho na kimaadili, na Waislamu wanaiamini kuwa ni neno la Mungu lililofunuliwa moja kwa moja.

Harry Potter: Inatumika kwa ajili ya burudani, na wasomaji wanajua kwamba ni kazi ya kubuni.
 
Jinsi zinavyotumika:

Quran: Inatumika kama mwongozo wa kiroho na kimaadili, na Waislamu wanaiamini kuwa ni neno la Mungu lililofunuliwa moja kwa moja.

Harry Potter: Inatumika kwa ajili ya burudani, na wasomaji wanajua kwamba ni kazi ya kubuni.
Kuamini unaweza kuamini hata uongo.

Kuamini kwako Quran ni kuamini hadithi za kubuniwa tu.

Kwanza thibitisha uwepo wa huyo Mungu.
 
Kuwepo kwa Quran zaidi ya miaka 1400 pia ni hadithi za kusadikika na kubuniwa tu.

Kwa sababu huyo Mungu hajawahi kuthibitishwa zaidi ya kuaminiwa tu bila uthibitisho wowote ule.
 
Kuamini unaweza kuamini hata uongo.

Kuamini kwako Quran ni kuamini hadithi za kubuniwa tu.

Kwanza thibitisha uwepo wa huyo Mungu.


Katika Quran, kuna aya nyingi zinazozungumzia kuwepo kwa Mungu. Mojawapo ni Surat Al-Baqarah, Aya ya 255 (Ayat Al-Kursi), inayoelezea uweza na sifa za Allah. Inaeleza:

"Allah! There is no deity except Him, the Ever-Living, the Sustainer of existence. Neither drowsiness overtakes Him nor sleep. To Him belongs whatever is in the heavens and whatever is on the earth. Who is it that can intercede with Him except by His permission? He knows what is before them and what will be after them, and they encompass not a thing of His knowledge except for what He wills. His Kursi extends over the heavens and the earth, and their preservation tires Him not. And He is the Most High, the Most Great."

Hii aya inaonesha ukubwa na uwezo wa Mungu. Zaidi ya hayo, Quran inatumia hoja za uumbaji wa ulimwengu, usiku na mchana, na mambo mengine ya asili kama dalili za kuwepo kwa Allah. Unavyotafakari juu ya uumbaji na mpangilio wa vitu, inasemekana inakuelekeza kwenye kutambua uwepo wa Mungu.

Kwa hivyo, kupitia Quran, kuna aya nyingi na hoja zinazoweza kutumika kuthibitisha uwepo wa Mungu. Unaweza kusoma zaidi ili kujifunza kwa undani zaidi.
 
Umeshashiba viazi sasa unabeua tu uko vzr
 
Umeshashiba viazi sasa unabeua tu uko vzr


Surah Al-An'am: Ayah 108

وَلَا تَسُبُّواْ ٱلَّذِينَ يَدۡعُونَ مِن دُونِ ٱللَّهِ فَيَسُبُّواْ ٱللَّهَ عَدۡوَۢا بِغَيۡرِ عِلۡمٖۗ كَذَٰلِكَ زَيَّنَّا لِكُلِّ أُمَّةٍ عَمَلَهُمۡ ثُمَّ إِلَىٰ رَبِّهِم مَّرۡجِعُهُمۡ فَيُنَبِّئُهُم بِمَا كَانُواْ يَعۡمَلُونَ
Wala msiwatukane hao wanao waomba badala ya Mwenyezi Mungu, wasije na wao wakamtukana Mwenyezi Mungu kwa jeuri bila ya kujua. Namna hivyo tumewapambia kila umma vitendo vyao. Kisha marejeo yao yatakuwa kwa Mola wao Mlezi, naye atawaambia waliyo kuwa wakiyatenda.
 
Hivi huyu Gunner Shooter yupo au ni miongomi mwa wale maaskali wawili wa JWTZ waliouawa DRC. mana kuna uzi alituaga humu kuwa amechaguliwa kwenda kongo kwenda kusaidia kulinda amani na tumuombee. ila mpaka sasa ni kimya humu jukwaani.
 
Quran si uthibitisho wa uwepo wa Mungu.

Quran ni maandishi tu ya kiarabu.

Hayana uthibitisho wowote ule wa uwepo wa Mungu.
 
Wazungu wanaona Waafrika kama mazuzu, walituachia Biblia na wakaondoka na madini yetu, ukipigwa shavu la kulia ugeuze na shavu la kushoto. Usamehe saba mara 70. Hatukuhoji!! Ni kwa nini Mungu alishindwa kuwasamehe Adam na Eva kwa kula tu "katunda "? Dini ni utapeli.
 
Naamini Mungu yupo. Ila dini ni sana. Imagine mtu kama Masanja ndio mchungaji wako. Gwajiboy Zumeradi no.
 
No evidence that can show the ABSENCE OF GOD OR EVEN PRESENCE WE ALL USE FAITH. IF YOU DONNT APPLY IT YOU CANT BELIEVE THE PRESENCE OF GOD BECAUSE THE GOD IS COMING OUT OF FAITH NOT FACT.

Kiranga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…