Rasmi nimeligundua hili, Mungu na Shetani hawapo: Dini ni utapeli

Wewe nawe nenda na dini Yako ya jadi kachukue madini marekani
 
Mwambie ukweli huyu mpumbavu! Wapumbavu husema moyoni kuwa hamna Mungu! Aangalie huko California!
Mimi naamini Mungu yupo lakini kwenye ule moto wa California hauna uhusiano wowote na Mungu.
 
Haya ni maneno ya mitaani tu. Ule moto has nothing na kudhihakiwa kwa Mungu. Kama ingekuwa hivyo hiyo mioto ingekuwa inawaka sehemu nyingi sana duniani. By the way mimi naamini uwepo wa Mungu lakini kwenye suala la moto kule California hapana, halihusiani na Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…