😂😂😂Nchi ya familia 4 tu hii, wengine vidampa tu
😂😂😂Nchi ya familia 4 tu hii, wengine vidampa tu
Kwa kweli tumerudi nyuma sana kama TaifaHakika mkuu na huo mchezo wa Kanyama hauna mwenyewe kila mtu anataka aone mdinyano mpya .
Ndo maana siasa zetu zinahitaji Sana moyo ukiingia mtaani watu wapo busy na mambo tofauti na siasa .
Zile siasa za 2015 kurudi 2010 chini ya Dr Slaa kwa sasa zimekufa .
Hakuna maigizo kweli kati ya ccma,ccmb na tumeccm kweli ama akili zangu za kuvukia barabara tuu?Tume imekubali pingamizi lililowasilishwa na Ndugu Hamza Saidi Johari Mwanasheria Mkuu wa Serikali dhidi ya uteuzi wa Ndugu Luhaga Joelson Mpina kuwa mgombea wa kiti cha Rais kupitia Chama cha ACT-Wazalendo.
Hivyo, jina la Ndugu Luhaga Joelson Mpina, mgombea wa kiti cha Rais kupitia Chama cha ACT-Wazalendo limeondolewa kwenye orodha ya wagombea wa kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.
Soma Pia: Mpina ashinda kesi kuenguliwa kuwa mgombea Urais
Aidha, mapingamizi yaliyowekwa wa Mgombea wa CCM, Samia Suluhu Hassan yametupiliwa mbali.
View attachment 3472514
View attachment 3472515View attachment 3472516
Bora alivyolikataa,,,safari ya kulirudisha ingekua ngumu sana😄.....Naamini hii taarifa ya pingamizi alikua nayo na ndio sababu ya kukataa gari.si juzi tu walimpitisha na walitaka kumpa gari akakataa tena ikawaje?
Hapo kwenye yeye kutotaka kabisa upinzani panashangaza sana. Uwezo wake ni mdogo mno mno. Wagombea wengine wote waliobaki wanapangiwa vya kuongea. Wanaongea vichekeshooo, ili yeye ndio aonekane ananafuu. Sasa kulazimisha kote huku ni kwa nini ikiwa watu hawakutaki? Hutakiwi halafu unalazimisha kiasi hiki kweli?Kwanini Mgombea wa 100bn hataki mpinzani WA kweli kwenye uchaguzi huu 2025 .
Je ana mapungufu Gani kiasi kwamba anaona hawezi kushindana na na ntu, au ana Nia ipi ya Mama Tanzania.
Na mwenye kutafsiri Sheria ni Mahakama au hiyo tume.
Na je hizo Kanuni za Vyama zipo juu ya Sheria kuu au katiba yetu juu Haki ya mtu kushiriki na kuchaguliwa
TEGEMEO LA MATUMAINI LILILOBAKIA.
Kitawaka au hakitawaka?
Sasaa itakuaje?Hapo kwenye yeye kutotaka kabisa upinzani panashangaza sana. Uwezo wake ni mdogo mno mno. Wagombea wengine wote waliobaki wanapangiwa vya kuongea. Wanaongea vichekeshooo, ili yeye ndio aonekane ananafuu. Sasa kulazimisha kote huku ni kwa nini ikiwa watu hawakutaki? Hutakiwi halafu unalazimisha kiasi hiki kweli?
"Hutakiwihalafui unalazimisha kiasi hiki...?"Hapo kwenye yeye kutotaka kabisa upinzani panashangaza sana. Uwezo wake ni mdogo mno mno. Wagombea wengine wote waliobaki wanapangiwa vya kuongea. Wanaongea vichekeshooo, ili yeye ndio aonekane ananafuu. Sasa kulazimisha kote huku ni kwa nini ikiwa watu hawakutaki? Hutakiwi halafu unalazimisha kiasi hiki kweli?
Mbona unazunguka zitto ni Usalama wa TaifaZitto yupo nyuma ya haya yanayoendelea...hawa ACT ni madalali wa lumumba
2015 Lowasa Chadema Ulisema haya?Hao akina Mpina , Zitto , Mbowe n.k
Ukifatilia there's so many things to lose .
Wengi unakuta ni wafanyabiashara ambao wanafaidika na mfumo wa Ccm indirect na direct kuanzia Kodi n.k
Hata wakikosoa , wanakosoa Ila hawana uwezo wa kui challenge Sana Serikali kwakuwa wanajua wataweka biashara zao hatarini .
Mfanyabiashara mkubwa au wa kati anapoingia katika siasa wengi wanaingia kimkakati haijalishi iwe Ccm au upinzani .
Hakika the last card!TEGEMEO LA MATUMAINI LILILOBAKIA.
Hili lisipokuwepo, Tanzania ijidhatiti kwa makubwa zaidi ambayo hayajawahi kutokea.
KitawakaKitawaka au hakitawaka?