PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 14,521
- 46,663
Mbona unazunguka zitto ni Usalama wa Taifa
[/QUOTE
Sahihi kabisaa
Mbona unazunguka zitto ni Usalama wa Taifa
[/QUOTE
Sahihi kabisaa
Red LIGHT au sio? Taa NYEKUNDUKitawaka
Red LIGHT au sio? Taa NYEKUNDU
Bangladesh imeungana na Nepal sio Malawi hio kweli?
Mitaa ya Magogoni hiyo, tarehe 29 October, saa Tisa mchana 🫵🏿Bangladesh imeungana na Nepal sio Malawi hio kweli?
Ukiwa kitumbo wazi kabisa unasubiria kupigwa marungu na polisi kisha kuingizwaa kweenye kalandinga au utakua km Hamza unapiga rotation tu huku na kule?Mitaa ya Magogoni hiyo, tarehe 29 October, saa Tisa mchana 🫵🏿
Zito kampigia debe mgombea wa chama kingineTume imekubali pingamizi lililowasilishwa na Ndugu Hamza Saidi Johari Mwanasheria Mkuu wa Serikali dhidi ya uteuzi wa Ndugu Luhaga Joelson Mpina kuwa mgombea wa kiti cha Rais kupitia Chama cha ACT-Wazalendo.
Hivyo, jina la Ndugu Luhaga Joelson Mpina, mgombea wa kiti cha Rais kupitia Chama cha ACT-Wazalendo limeondolewa kwenye orodha ya wagombea wa kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.
Soma Pia: Mpina ashinda kesi kuenguliwa kuwa mgombea Urais
Aidha, mapingamizi yaliyowekwa wa Mgombea wa CCM, Samia Suluhu Hassan yametupiliwa mbali.
View attachment 3472514
View attachment 3472515View attachment 3472516