Sasa ndio mjifunze siku nyingine msijitutumue kushindana na simba SC kwenye usajili na pesa zenu za magodoro.
Nawahurumia mtahangaika sana kuokoteza visingizio, bado yule jamaa wa Ug hajawakalia kooni vizuri mumpe chake, jiandaeni kutengeneza kisingizio kipya chap!.
Dogo kakomba kibubu chote na bado kaongeza mashartiMnatamani kuona pesa iwe imeisha.
Ila mkifikiria kwamba GSM bado yupo katika usukani vichwa vinawawaka moto.
View attachment 2293814
Unataka kutuambiaje kuhusu hizi 200M za Uturuki wanazodaiSijawahi Sikia TP Mazembe au AS Vita au Mamelodi Sundowns, Kaizer Chiefs wala Orlando Pirates wakiendekeza Upuuzi huu wa kuweka makambi nje y mataifa yao.
Huu upuuzi inabidi Tuukomeshe wanayanga yanga.
Yaani leo Al ahly aende Libya kufanya pre season? What a fvcken shit.
Weka ushahidi hapa ili tusikuone zezetaOkrah yuko kwa MKOPO.
Mchezaji gani mmenunua tofauti na Kapama & Kayombo.
Zinawekwa kwenye account ipi? Ikiwa hakuna hata hela ya kwenda turkey??Gawanya hii bilion 41 kwa Miaka 10.
Ili tujue kila mwaka Yanga inaingiza Bilion ngapi?
41/10= 4 Bilions.
Yaani kila mwanzo wa msimu 4 Bilions zinaingia Jangwani.
Just from a single income. Pengine hatujahesabia hapo.
View attachment 2293860
Unadhani tumesajili kijinga kama mlivyofanya nyinyi kwa Mayele?? Okrah hayupo Simba Sc kwa mkopo.Okrah yuko kwa MKOPO.
Mchezaji gani mmenunua tofauti na Kapama & Kayombo.
Usiwe punguani Hakuna atayeweza kumuuza Mayele Bila Yanga kuridhia, Sasa iyo form ya TMS uyo Anaye mnunua ata ijaza vipi maana lazima Yanga watoe ushirikiano (Transfer Matching System).Unadhani tumesajili kijinga kama mlivyofanya nyinyi kwa Mayele?? Okrah hayupo Simba Sc kwa mkopo.
Sasavl hivi mnahanya tu, wenye mchezaji(mayele) wanataka wapige hela kutoka kwa vilabu vinavyomhitaji.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dj Waleteee.Yanga bhana yaani mnambeleza wachezaji muwalipe kidogo ili hela inayobaki mfanyie mambo mengine wakikomaa timu inayumba, huyo Aziz k ni mmoja tu kagoma bado wengine wanakuja nasikia na daktari wa timu kakaza yaani huko matombo utasikia wiki tu mmerudi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] DOMOLEPEHuyo mchezaji wenu mdomo ameng'atwa na dondola?
kwa hiyo atakuwa hapangwi kucheza?Okrah yuko kwa MKOPO.
OUsiwe punguani Hakuna atayeweza kumuuza Mayele Bila Yanga kuridhia, Sasa iyo form ya TMS uyo Anaye mnunua ata ijaza vipi maana lazima Yanga watoe ushirikiano (Transfer Matching System).
Ili acheze uko unkodai amesajiliwa ana hitaji Leseni Sasa ao wanao msajili Leseni ya Mayele watafanyaje Ili kufanikisha bila Yanga kuridhia?
Ukiona Mayele kauzwa ujue hakuna namna Yanga wasihusike.
Punguza umbumbumbu.
Mazembe walienda pre-Season morocco mwaka janaSijawahi Sikia TP Mazembe au AS Vita au Mamelodi Sundowns, Kaizer Chiefs wala Orlando Pirates wakiendekeza Upuuzi huu wa kuweka makambi nje y mataifa yao.
Huu upuuzi inabidi Tuukomeshe wanayanga yanga.
Yaani leo Al ahly aende Libya kufanya pre season? What a fvcken shit.
Sijawahi Sikia TP Mazembe au AS Vita au Mamelodi Sundowns, Kaizer Chiefs wala Orlando Pirates wakiendekeza Upuuzi huu wa kuweka makambi nje y mataifa yao.
Huu upuuzi inabidi Tuukomeshe wanayanga yanga.
Yaani leo Al ahly aende Libya kufanya pre season? What a fvcken shit.