RASMI: Pre Season Ya Yanga SC Kufanyika Tanzania, wachezaji 7 watajwa sababu

RASMI: Pre Season Ya Yanga SC Kufanyika Tanzania, wachezaji 7 watajwa sababu

Mtaweweseka sana mwaka

IMG_0630.jpg
 
Sasa ndio mjifunze siku nyingine msijitutumue kushindana na simba SC kwenye usajili na pesa zenu za magodoro.

Nawahurumia mtahangaika sana kuokoteza visingizio, bado yule jamaa wa Ug hajawakalia kooni vizuri mumpe chake, jiandaeni kutengeneza kisingizio kipya chap!.

Za ndaaaani Kabisa. PESA SIO TATIZO.

(Alafu kumbe tulikuwa tunashindana na nyinyi, nilidhani SIIOO alisema kuwa hamjawahi kumtaka)

Huu ni mchambuo wa pesa za mwaka zinazoingia Jangwani.

Chukua hii bilioni 41 igawe kwa miama 10.

Lengo ni kujua Kila mwisho wa mwaka Yanga SC watapokea kiasi gani.

Haya twende:-

41/10= 4 Bilions per Year.

Kila mwaka Yanga SC inapokea 4 Bilions kutoka Azam TV.

Sasa tutafute milioni 200 ni asilimia ngapi katika bilion 4.

200,000,000/4,000,000,000*100%= 5%

Yaani ni aslimia 5 tu. Hapo hatuja kusanyanmapato ya milion 600 ya ubingwa. Wala mapato ya mikataba na GSM wala yale ya mwaka ya Sportpesa.

Walivyosema Yanga SC watachukua ndoo kwa miaka 10 mfululizo kumbe ni jeuri ya hii pesa ya Azam TV
IMG_0677.png
 
Sijawahi Sikia TP Mazembe au AS Vita au Mamelodi Sundowns, Kaizer Chiefs wala Orlando Pirates wakiendekeza Upuuzi huu wa kuweka makambi nje y mataifa yao.

Huu upuuzi inabidi Tuukomeshe wanayanga yanga.

Yaani leo Al ahly aende Libya kufanya pre season? What a fvcken shit.
Unataka kutuambiaje kuhusu hizi 200M za Uturuki wanazodai
 
Gawanya hii bilion 41 kwa Miaka 10.

Ili tujue kila mwaka Yanga inaingiza Bilion ngapi?

41/10= 4 Bilions.

Yaani kila mwanzo wa msimu 4 Bilions zinaingia Jangwani.

Just from a single income. Pengine hatujahesabia hapo.
View attachment 2293860
Zinawekwa kwenye account ipi? Ikiwa hakuna hata hela ya kwenda turkey??
 
Okrah yuko kwa MKOPO.

Mchezaji gani mmenunua tofauti na Kapama & Kayombo.
Unadhani tumesajili kijinga kama mlivyofanya nyinyi kwa Mayele?? Okrah hayupo Simba Sc kwa mkopo.

Sasavl hivi mnahanya tu, wenye mchezaji(mayele) wanataka wapige hela kutoka kwa vilabu vinavyomhitaji.
 
Unadhani tumesajili kijinga kama mlivyofanya nyinyi kwa Mayele?? Okrah hayupo Simba Sc kwa mkopo.

Sasavl hivi mnahanya tu, wenye mchezaji(mayele) wanataka wapige hela kutoka kwa vilabu vinavyomhitaji.
Usiwe punguani Hakuna atayeweza kumuuza Mayele Bila Yanga kuridhia, Sasa iyo form ya TMS uyo Anaye mnunua ata ijaza vipi maana lazima Yanga watoe ushirikiano (Transfer Matching System).
Ili acheze uko unkodai amesajiliwa ana hitaji Leseni Sasa ao wanao msajili Leseni ya Mayele watafanyaje Ili kufanikisha bila Yanga kuridhia?
Ukiona Mayele kauzwa ujue hakuna namna Yanga wasihusike.
Punguza umbumbumbu.
 
Huyo mchezaji wenu mdomo ameng'atwa na dondola?
 
Ahsante kwa taarifa, siyo kwamba pesa hakuna...
 
Yanga bhana yaani mnambeleza wachezaji muwalipe kidogo ili hela inayobaki mfanyie mambo mengine wakikomaa timu inayumba, huyo Aziz k ni mmoja tu kagoma bado wengine wanakuja nasikia na daktari wa timu kakaza yaani huko matombo utasikia wiki tu mmerudi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dj Waleteee.
 
Inamaana hujui kama alikuwa hapa Tz kwa mkopo? Yani ni kama tu ambavyo hamkuhusika wakati Makambo anauzwa Horoya, na Kisinda kuelekea Berkane.

Usiwe punguani Hakuna atayeweza kumuuza Mayele Bila Yanga kuridhia, Sasa iyo form ya TMS uyo Anaye mnunua ata ijaza vipi maana lazima Yanga watoe ushirikiano (Transfer Matching System).
Ili acheze uko unkodai amesajiliwa ana hitaji Leseni Sasa ao wanao msajili Leseni ya Mayele watafanyaje Ili kufanikisha bila Yanga kuridhia?
Ukiona Mayele kauzwa ujue hakuna namna Yanga wasihusike.
Punguza umbumbumbu.
O
 
Sijawahi Sikia TP Mazembe au AS Vita au Mamelodi Sundowns, Kaizer Chiefs wala Orlando Pirates wakiendekeza Upuuzi huu wa kuweka makambi nje y mataifa yao.

Huu upuuzi inabidi Tuukomeshe wanayanga yanga.

Yaani leo Al ahly aende Libya kufanya pre season? What a fvcken shit.
Mazembe walienda pre-Season morocco mwaka jana
 
We nyani uwe unafanya utafiti kwanza ndio uje kuandika pumba zako hapa sio unabweka ka umbwa.
Sijawahi Sikia TP Mazembe au AS Vita au Mamelodi Sundowns, Kaizer Chiefs wala Orlando Pirates wakiendekeza Upuuzi huu wa kuweka makambi nje y mataifa yao.

Huu upuuzi inabidi Tuukomeshe wanayanga yanga.

Yaani leo Al ahly aende Libya kufanya pre season? What a fvcken shit.
 
Niliwadokeza hii tetesi.

Kambi ni AVIC TOWN.

Thanks God [emoji120]
 
Back
Top Bottom