Rasmi Putin aonesha sample za noti mpya za BRICS. Je, huu ndio mwisho wa US Dollar?

msiwe mnaandika humu ikiwa vichwa vyenu ni empty jamani
Wewe una huo ujuzi,mbona unaonekana umtupu.Inaelekea hata hujui vita dhidi ya US Dollar inasababishwa na nini,unadhani other nations just hate America.It is not,just as other past Empires like the Roman Empire fell because of doing very stupid things,the American Empire is also falling because it has done very stupid things.Nikuambie hivii,the formation of BRICS is just one of the precursors to make the American Empire fall,and is not the only one,there are many.
 
Brics inaweza kuwa mbadala
Siyo kirahisi lakini italeta changamoto kwa Dollar. Unajua players wa brics are capable na wanaresources za kutosha. Wakiplay among themselves excluding us, bado wanaweza kuipa shida us na Dollar yake.
 
Si ukae kwa kutulia unahangaika nini kama umekalia gunzi ..ww unajua kuliko hao wakati una FF mbili
ata ukiumia ndio hakuna namna, US walizitawala hizo nchi kiakili na kisayansi kama china hawana njia ya kutokea mpaka walimu vyuo vikuu vya China ni kutoka US wachache sana ndio wazawa
 
Uchambuzi murua kabisa
 
Brics inaweza kuwa mbadala

Siyo kirahisi lakini italeta changamoto kwa Dollar. Unajua players wa brics are capable na wanaresources za kutosha. Wakiplay among themselves excluding us, bado wanaweza kuipa shida us na Dollar yake.
The US Dollar is in serious trouble look at this๐Ÿ‘‰
 
Hakuna kitu. Yenyewe wanaitumia maskn wenzake kina nirth korea. Kama mabepari wapo na dollars sidhan kama itapoteza ushawishi
 
Hakuna kitu. Yenyewe wanaitumia maskn wenzake kina nirth korea. Kama mabepari wapo na dollars sidhan kama itapoteza ushawishi
Hujui History,ndio maana una mawazo haya.
 
Tatizo kubwa ninaloliona kwenu ni history.Laiti mngejua kwamba before the American Empire there were other empires and they all collapsed kwa ajili ya ujinga kama huu huu wa Marikani.Ni hivii,you people are so naive,the American Empire is collapsing,tena by design.Asiyeona hili ni kipofu,tena kipofu kweli kweli.
 
Ukiondoa B maanake umeiondoa Brazil. Usifikri hilo jina lipolipo tu!
 
Shida ni kwamba nchi za BRICS ukitoa russia na North Korea waliobaki bado wanaitegemea US kwa kila hali
I know it won't be easy and straight forward,especially because the hegemon,that is the US is still around and will try to derail every step taken.It is important to note however that the vector has been initiated.
 
Ngojea tuone itavyokua.
Hao viongozi wanajielewa zaidi mkuu.
 
Hii observation safi sana. Eti Maduro na Mnangagwa nao wanataka kudandia mtumbwi!
 
Putin angekuwa anajua sana , hivi Sasa angekuwa anaitawala Ukraine!
 
Mnadhani ayo mataifa yangeenda kupoteza muda kupanga mambo yasiyo na mikakati??

Dollar ni utapeli mkubwa sana uliowahi kuwepo
Marekani anaingiza zaidi ya $3 trillion kwa biashara zinazofanyw akupitia pesa yake bila yeye mwnyewe hata kushiriki.
Na ndio sababu hana uchungu kuzitoa na kudhamini vita duniani

Dollar ni silaha ya marekani.
Na hayo mataifa ni wahanga wake.

Pia BRICS ni zaidi ya mambo ya uchumi tu.
Ni picha ndani ya picha
Juzi marekani imelalamika kuwa Brics itaua democracy duniani.

Marekani hana uzalishajj mkubwa kutisha, yeye ni mtumiaji mkubwa wa vitu vya china.
USA Utajiri wake upo kwenye utapeli na kuchapa noti.

Dunia imelalia upande wa west mpaka sasa, hao brics wanajaribu kutafuta balance.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ