Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Hela ni moja tu Dola ya Marekani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Exactly 💯Yaani Russia, China, Brazil na India kuwepo tu humo ni robo tatu ya dunia!
🤣🤣 Hawataki, mtu yupo vitani na bado anafanya mambo makubwa kama hayoYote kwa yote, huyu mtu anayeitwa Putin si wa kawaida, tukubali tu.
Hawezi kukuelewa sababu amejaza ushabiki wa kindezi kwa US kuliko uhalisikiaMkuu don't mix things.Kwenye Euro hapakua na issue ya replacement of a currency.Now nations are seeking to replace a currency in their transactions,which is still a legal tender in the US.What does this mean,this means that the currency will crumble in terms of value worldwide and even in the US itself.
Wale wanajali pesa Tu utu wa mtu kwao hauna thamaniMarekani anaua hadi watu wake mwenyewe kupitia business ya madawa ya kulevya ni kubwa mno US yaan more than evil sijui wana mpango gani na hii dunia ovyo tuu
msiwe mnaandika humu ikiwa vichwa vyenu ni empty jamaniUkiwa mbumbumbu wa uchumi, unaweza kuamini kuwa hiyo sarafu itaidhoofisha dola kiurahisi, lakini kama una uelewa japo wa kawaida wa uchumi wa Dunia, utajua kuwa hakuna lolote la pekee:
West Afrca block wana curreny yao, je, hiyo imepunguza uthamani wa dola katika mataifa hayo?
European Union wana sarafu yao, je, imeifanya dollar kutokuwa na thamani?
Kinacholinda uthamani wa dola ni ukubwa wa uchumi wa marekani. Huko Brics, jumlisha uchumi wa mataifa yote wanachama, uchumi wake bado ni chini ya uchumi wa Marekani ikiwa pekee yake:
USA GDP 2024 $29 trillion
BRICS
China GDP 2024 $13trillion
Russia GDP 2024 $2trillion
Brazil GDP 2024 $2 trillion
India GDP 2024 $ 4 trillion
Wakati USA pekee yake in GDP 29 trillion, nchi zote za Brics ukiziweka pamoja, jumla ya GDP yao haifiki hata $25 trillion!!
Rais wa Urusi, Vladimir Putin, wakati yupo kwenye mkutano mkuu wa BRICS uliofanyika Kazan aliwashangaza washiriki kwa kugawa sampuli za noti mpya za Benki ya BRICS, ishara inayodaiwa kuwa mwisho wa enzi kwa Dola ya Marekani kama sarafu ya akiba duniani.
Noti hizo za BRICS, ambazo zimeonekana kwa mara ya kwanza katika hafla hiyo ya kimataifa, zimeibua mjadala mkubwa kuhusu mustakabali wa mfumo wa fedha wa dunia.
Sarafu hiyo mpya inasemekana kuungwa mkono na bidhaa halisi kama dhahabu na mafuta, tofauti na Dola ya Marekani ambayo ni sarafu ya "fiat" isiyo na dhamana ya moja kwa moja ya mali.
Sarafu ya BRICS Kuipiku Dola ya Marekani?
Wachambuzi wanaeleza kuwa uzinduzi wa sarafu ya BRICS huenda ukawa mwanzo wa kipindi kipya cha kutoitegemea Dola ya Marekani katika biashara za kimataifa.
Wanaonya kuwa sarafu hiyo mpya inaweza kupunguza sana ushawishi wa kiuchumi wa Marekani ulimwenguni, hasa kutokana na ukweli kwamba nchi nyingi zinaweza kuacha kutumia Dola kama sarafu ya kibiashara.
View attachment 3133964Nimesoma headline tu lakini nimeona niandike sentensi moja then niendelee
Imeshindwa EURO 💶 sidhani kama hiyo BRICS itaiweza dollar.Rais wa Urusi, Vladimir Putin, wakati yupo kwenye mkutano mkuu wa BRICS uliofanyika Kazan aliwashangaza washiriki kwa kugawa sampuli za noti mpya za Benki ya BRICS, ishara inayodaiwa kuwa mwisho wa enzi kwa Dola ya Marekani kama sarafu ya akiba duniani.
Noti hizo za BRICS, ambazo zimeonekana kwa mara ya kwanza katika hafla hiyo ya kimataifa, zimeibua mjadala mkubwa kuhusu mustakabali wa mfumo wa fedha wa dunia.
Sarafu hiyo mpya inasemekana kuungwa mkono na bidhaa halisi kama dhahabu na mafuta, tofauti na Dola ya Marekani ambayo ni sarafu ya "fiat" isiyo na dhamana ya moja kwa moja ya mali.
Sarafu ya BRICS Kuipiku Dola ya Marekani?
Wachambuzi wanaeleza kuwa uzinduzi wa sarafu ya BRICS huenda ukawa mwanzo wa kipindi kipya cha kutoitegemea Dola ya Marekani katika biashara za kimataifa.
Wanaonya kuwa sarafu hiyo mpya inaweza kupunguza sana ushawishi wa kiuchumi wa Marekani ulimwenguni, hasa kutokana na ukweli kwamba nchi nyingi zinaweza kuacha kutumia Dola kama sarafu ya kibiashara.
Sijui wakati wa mikwara ya kuanzishwa 💶 EURO ulikuwa wapi na ulikuwa na umri gani, mikwara iliyopigwa mpaka na mainstream media za kidunia wengi walijua kuwa US Dollar ndiyo imefika mwisho wake but see what exactly happened yaani ni contrary hata kwa magwiji wa uchumi wa Ulaya walivyokuwa waki-predict.Wewe ni mtu masikini kabisa hapa duniani,tena unatokea kwenye bara masikini kabisa,Tena unatokea kwenye nchi masikini kabisa na ninaamini unatokea kwenye mkoa masikini kabisa na inawezekana ukezaliwa kwenye familia masikini kabisa.
Wewe binafsi usipochukua Pesa yao hao BRICS wala hauna madhara yoyote kwao,ni kua haupo kabisa katika Dunia hii.
Huna lolote la kuwapunguzia.
Lakini kaa nikuambie USA wenyewe matumbo moto.
Putin anaplay kama nyerere enzi za kupigania uhuru wa africaKagame wa ulaya
Wewe hata kidogo kivipi china isitegemee USA itakuwa kichekesho hivi unajua soko la chuma china inategemea kwa asilimia kubwa sana familia meli kubwa za evergreen nanga ni USAChina haitegemei USA na Iran ndio kabisa haitegemei USA.
Japo sijajua kama ameingia bricks rasmi huyu Iran.
Uko sawaKwa hali ilivyo utaona jinsi nchi zitakavyo miminika hapo kujiiunga na hiyo block kuonyesha kuwa watu wamechoka na ukiritimba wa dollar
Sasa hivi ndo unaoona takataka nakumabia kuna siku itaiona dhahabu
Unaongea unabwabwaja ongea kwa hatua.Wewe hata kidogo kivipi china isitegemee USA itakuwa kichekesho hivi unajua soko la chuma china inategemea kwa asilimia kubwa sana familia meli kubwa za evergreen nanga ni USA
Hiyo sarafu imekaa kipropaganda zaidi. Na anayefanya hiyo propaganda anafahamika.China haitegemei USA na Iran ndio kabisa haitegemei USA.
Japo sijajua kama ameingia bricks rasmi huyu Iran.
Hiyo sarafu imekaa kipropaganda zaidi. Na anayefanya hiyo propaganda anafahamika.Unaongea unabwabwaja ongea kwa hatua.
China haitegemei USA.
Unajua maana ya kumtegemea!?
Hivi unajua ile trade war ya kipindi cha Trump China alilipa kisasi kwa kuzuia rare metals,chuma kwenda USA kama raw materials!?
Kama angekua anamtegemea USA si angepiga magoti yaishe!?
Embu nenda kakifuatilie trade war ya 2018 baina ya USA na China uone jinsi China sasa hivi ilivyo taifa lenye nguvu.
Euro imeshindwa nini,mbona haikuwa meant to replace the US Dollar.The Euro was meant to be a currency for the European Eunion huku wakiendelea kutumia the US Dollar in international transactions, msichanganye mambo. On the other hand,the BRICS currency is meant to replace the US Dollar in all BRICS member countries na hawatatumia the US Dollar in their international transactions.This will definitely see the value of the US Dollar crushing,because it's value was based on it's use as an international medium of exchange.Imeshindwa EURO 💶 sidhani kama hiyo BRICS itaiweza dollar.