Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi nyingi Duniani zinadaiwa na USA..wao wanataka dola. Tuanzie hapo kwanzaTena hiyo itakuwa nzuri sana kwetu, kwa kuwa tutalipa madafu ya dola.
BRICS currency ni propaganda tu kwa sasa.WHAT DO OTHER BRICS LEADERS THINK?
South African officials had said a BRICS currency was not on the agenda for the summit.
In July, India's foreign minister said, "there is no idea of a BRICS currency". Its foreign secretary said before departing for the summit that boosting trade in national currencies would be discussed.
hapa tutaumizwa masikini kuuzwa kwa master mwingine badala tufanye kama mwafrika maana huyu putin ajenda ni kisasi kwa marekani sio kufanya maisha yawe rahisi kwetu halafu huyu putin sijawahi hata kusikia hata product,project zozote za kijamii hapa Tanzania sijui yeye kajitokeza tuu wakati wa vita tuweni macho ukiwa boss huwezi kumuwezesha mtehja wako kiasi kwamba ajitegemeeRais wa Urusi, Vladimir Putin, wakati yupo kwenye mkutano mkuu wa BRICS uliofanyika Kazan aliwashangaza washiriki kwa kugawa sampuli za noti mpya za Benki ya BRICS, ishara inayodaiwa kuwa mwisho wa enzi kwa Dola ya Marekani kama sarafu ya akiba duniani.
Noti hizo za BRICS, ambazo zimeonekana kwa mara ya kwanza katika hafla hiyo ya kimataifa, zimeibua mjadala mkubwa kuhusu mustakabali wa mfumo wa fedha wa dunia.
Sarafu hiyo mpya inasemekana kuungwa mkono na bidhaa halisi kama dhahabu na mafuta, tofauti na Dola ya Marekani ambayo ni sarafu ya "fiat" isiyo na dhamana ya moja kwa moja ya mali.
Sarafu ya BRICS Kuipiku Dola ya Marekani?
Wachambuzi wanaeleza kuwa uzinduzi wa sarafu ya BRICS huenda ukawa mwanzo wa kipindi kipya cha kutoitegemea Dola ya Marekani katika biashara za kimataifa.
Wanaonya kuwa sarafu hiyo mpya inaweza kupunguza sana ushawishi wa kiuchumi wa Marekani ulimwenguni, hasa kutokana na ukweli kwamba nchi nyingi zinaweza kuacha kutumia Dola kama sarafu ya kibiashara.
Mimi pia sipendi tabia za Marekani mkuu Why?hapa tutaumizwa masikini kuuzwa kwa master mwingine badala tufanye kama mwafrika maana huyu putin ajenda ni kisasi kwa marekani sio kufanya maisha yawe rahisi kwetu halafu huyu putin sijawahi hata kusikia hata product,project zozote za kijamii hapa Tanzania sijui yeye kajitokeza tuu wakati wa vita tuweni macho ukiwa boss huwezi kumuwezesha mtehja wako kiasi kwamba ajitegemee
Marekani anaua hadi watu wake mwenyewe kupitia business ya madawa ya kulevya ni kubwa mno US yaan more than evil sijui wana mpango gani na hii dunia ovyo tuuMimi pia sipendi tabia za Marekani mkuu Why?
1.Wanatumia hila kutuibia rasilimali zetu wakishirikiana na wanasiasa mafisadi.
2.Wanatumia mbinu ovu kutuua ili wawe custodians of our resources.
3.Wakitumia IMF,World Bank na viongozi wetu mafisadi kutuingiza kwenye mikopo isiyo na tija kabisa kwa Taifa letu.
4.Wakishirikiana na viongozi wetu mafisadi wameharibu elimu yetu ili tubaki kuwa mambumbumbu watutawale na waendelee kutuibia rasilimali zetu.
5.Wameharibu kilimo chetu na mazingira kwa nia ya kutuua huku wakisema uongo kuwa sisi ndio tunaoharibu mazingira yetu.Climate change is a deliberate manipulation by the US government,sisi kama binadamu hatuhusiki kabisa.
6.Wanatuletea madawa na vyakula vya kutuua, huku wakidai kuwa ni style zetu za maisha zinazotuletea matatizo, kumbe ni uongo.
7.Wameharibu maadili yetu kwa kutumia filamu, mtandao, TV na radio huku wakisema uongo kuwa wazazi hawalei watoto wao vizuri nk.nk.
Niseme ukweli,sipendi tabia za Marekani,ni nchi ovu sana.
Yaani Russia, China, Brazil na India kuwepo tu humo ni robo tatu ya dunia!Hayo yote mnayo yajadili humu Kwa lengo la kupinga pesa ya BRICS wenzenu tayari walishayajua in short the know how to settle issues wanajua wafanye nini Kwa lengo gani na Kipi wasifanye
So mnataka nyie mnaopinga mnataka kutuambia Hao Marais na mawaziri wakuu wa nchi tofauti zilizo kutana hapo ni wajinga hawajui wanacho kifanya au sio !?
😁😁😁😁
Halafu mtu anayepinga sasa hajawahi kuwa hata mwenyekiti wa Serikali za mitaa lakini Yuko hapana Ana mpinga na kumuona mjinga Putin na Xi jing ping watu ambao ni Viongoz wanao ongoza mataifa makubwa yenye ushawishi wa kijeshi na kisiasa duniani wonders shall never ends
Kwani Euro na Dollar hipi ina thamani?💯%.
Kama Euro imeshindwa, hiyo currency ya developing [not developed] countries ndo itaweza?
Abadan asilani!
Hata China??Shida ni kwamba nchi za BRICS ukitoa russia na North Korea waliobaki bado wanaitegemea US kwa kila hali
Umefafanua vizuri, huu ndo uhalisia japo wanazi wa marekani wanabishaWandugu mkae mkijua usd inaenda kuanguka na kupoteza umaarufu katika soko la Dunia.
Nitaeleza Kwa lugha nyepesi ili watu wasio wachumi wenzangu mnielewe.
Pesa kubwa duniani.
Kabla ya Euro kulikua Kuna Paund na USD.
Euro ilianzishwa baadae sana mwishoni mwa miaka ya 90.
Kwa Sasa kwa umaarufu Euro imeifunika Paund ya Uingereza.
Kwa Nini USD inaenda kupoteza nguvu umaarufu na kuanguka baada ya ujio wa fedha ya BRICS?
Haihitaji kua na elimu ya uchumi kuelewa hili.
Iko hivi.
Hakuna asiejua kua, USD ndio fedha pekee inayotumiwa na watu wengi zaidi ama nchi nyingi zaidi hapa duniani kwa ajili ya kubadilishana kati ya fedha na bidhaa.
Sasa iwapo itapatikana fedha nyingine ambayo imeundwa kutoka kwenye nchi zenye idadi kubwa sana ya watu hapa duniani,mfano china ,India, Brazil,Urusi na nchi nyingine.
Na Kuna nchi nyingi zimeonesha kiu ya kujiunga,
Kwa maana hiyo nchi zote hizo zitaachana na matumizi ya USD katika kufanya biashara baina Yao,yaani baina ya nchi wanachama wa BRICS .
Kwa Hali hiyo,dola itakua imepoteza umaarufu na nguvu.
Mfano,mtu akitaka kununua bidhaa kutoka nchi mwanachama wa BRICS,nchi muuzaji itamuambia alipe kwa fedha ya BRICS badala ya USD,
Hapa USD itakua imepeoteza umaarufu na nguvu.
Matumizi ya USD yataenda kupungua kwa sababu nchi nyingi sana zitaacha kuzitumia USD kama chombo Cha kubadilishana bidhaa.
Sasa kama nchi zitaachana na USD kwa Hali ya kawaida haiwezi kubaki na thamani ileile.
Kwa mfano Sasa hivi ukitaka kununua kitu chochote nje ya nchi,kama
vile kununua magari ama bidhaa nyingine kutoka Japan,china,India,Urusi,south Africa,Saudi Arabia,Iran,Dubai, Malaysia, Singapore, Korea kusini, Philippines, Taiwan, Israel,Canada n.k ni lazima ulipie kwa USD,.
Lakini BRICS currency ikija, nchi nyingi zitahamia kwa fedha ya BRICS,
Huo pia utakua ni mwanzo wa kupoteza umaarufuwa USD.
Kwa lugha rahisi kabisa kama fedha ilikua inatumiwa na nchi nyingi,nchi nyingine nyingi zikaamua kuachana nayo hakika thamani yake haiwezi kubaki kama ilivyokua mwanzo.
Hata hivyo kitakachotokea
Nadhani watu wengi hapa wanatakiwa watofautishe kati ya USD kushuka thamani na USD kupoteza umaarufu.
Kwa mtazamo wangu naamini USD haitashuka thamani,Bali itapoteza umaarufu.
USD itabaki na thamani yake,kwa sababu hata Marekani yenyewe itakua inauza bidhaa zake kwa USD,
ingawa nayo italazimika kununua bidhaa kutoka kwa BRICS members kwa kutumia fedha ya BRICS.
Wakati Sasa hivi ukienda kununua bidhaa Marekani utalipa kwa USD na Marekani ikija kununua bidhaa kwako italipa kwa USD .
Anguko lingine la USD ni haitatimika Tena kama fimbo kuzichapia nchi hasimu wa Marekani
Hapa nguvu ya USD itakua imekwisha kabisa.
Hali hii ndio iliikumba Pound ya Uingereza.
Kabla ya kuanzishwa kwa euro,pound ya Uingereza ilikua maarufu sana,lkn Sasa hivi imebaki na thamani yake lkn sio maarufu kama euro.
Mtazamo wangu.
hebu nipe mfano waliyoharibu kilimo>?Mimi pia sipendi tabia za Marekani mkuu Why?
1.Wanatumia hila kutuibia rasilimali zetu wakishirikiana na wanasiasa mafisadi.
2.Wanatumia mbinu ovu kutuua ili wawe custodians of our resources.
3.Wakitumia IMF,World Bank na viongozi wetu mafisadi kutuingiza kwenye mikopo isiyo na tija kabisa kwa Taifa letu.
4.Wakishirikiana na viongozi wetu mafisadi wameharibu elimu yetu ili tubaki kuwa mambumbumbu watutawale na waendelee kutuibia rasilimali zetu.
5.Wameharibu kilimo chetu na mazingira kwa nia ya kutuua huku wakisema uongo kuwa sisi ndio tunaoharibu mazingira yetu.Climate change is a deliberate manipulation by the US government,sisi kama binadamu hatuhusiki kabisa.
6.Wanatuletea madawa na vyakula vya kutuua, huku wakidai kuwa ni style zetu za maisha zinazotuletea matatizo, kumbe ni uongo.
7.Wameharibu maadili yetu kwa kutumia filamu, mtandao, TV na radio huku wakisema uongo kuwa wazazi hawalei watoto wao vizuri nk.nk.
Niseme ukweli,sipendi tabia za Marekani,ni nchi ovu sana.
Brics moja sawa sawa na $19.60 inaanza kupandaWew mwenyewe hapo ukiambiwa upewe hizo Brics note na US dollar utachagua ipi?
Mfano unavyolipa kwa simuUna maana gani Kwa hii👉soft payed
Euro Wana rasimali gani!??...... Tuanzie hapo...Euro yenyewe ilishindwa kufanya hayo maajabu