Shikamoni wanajamvi. Nilileta uzi kuhusu gf wangu yule ambaye ni mzaliwa wa India. Sasa nataka nioe kabisa potelea mbali.
Nataka kujua utaratibu kwa ufupi, wa mahari zao na vitu vingine vya msingi ambavyo natakiwa kujua juu ya jamii hii.
Ila nilichojifunza huwa hawapendi uongo. Kuhusu kazi, anafanya kazi kituo x cha watoto yatima kama mmoja wa walezi wao.
Acha ninenepe, nitake nini nisipate? Nimeamimi old is gold. Mimi wa kupiga round 4 kweli? Acheni tu. Anyway naomba kwa anayefahamu taratibu zao za mahari na gharama zingine.