Tafuta Hela
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 1,546
- 2,983
Ayaaaa hii ndio Nini Sasa [emoji23][emoji23][emoji23]Kwa jamii za wahindi,
mwanaume ndie huwa anaolewa.
Kwaiyo tambua kwamba Utachumbiwa, utalipiwa mahali na kisha mwisho wa siku utaolewa[emoji4]
Ndo Mila na desturi zao[emoji1]Ayaaaa hii ndio Nini Sasa [emoji23][emoji23][emoji23]
Shega tu mkuu, kikubwa mimi ndio napiga mzigo yaani.Kwa jamii za wahindi,
mwanaume ndie huwa anaolewa.
Kwaiyo tambua kwamba Utachumbiwa, utalipiwa mahali na kisha mwisho wa siku utaolewa[emoji4]
Baso sijakaa naye kwa kirefu na kumuuliza.Ayaaaa hii ndio Nini Sasa [emoji23][emoji23][emoji23]
Kill la heri mkuu,Shega tu mkuu, kikubwa mimi ndio napiga mzigo yaani.
Sio hermaphrodite, nishamchungulia vya kutosha, kila idara.Kill la heri mkuu,
Ila ombea Sana asiwe "Hermaphrodite"[emoji1]
AminiaKila la heri kwa kutuwakilisha kimataifa
Jiandae kula pilipili za kutosha kuanzia kwenye mboga..ugali..uji..juisi hadi maji ya kunywa wanatia pilipili.Shikamoni wanajamvi. Nilileta uzi kuhusu gf wangu yule ambaye ni mzaliwa wa India. Sasa nataka nioe kabisa potelea mbali.
Nataka kujua utaratibu kwa ufupi, wa mahari zao na vitu vingine vya msingi ambavyo natakiwa kujua juu ya jamii hii.
Ila nilichojifunza huwa hawapendi uongo. Kuhusu kazi, anafanya kazi kituo x cha watoto yatima kama mmoja wa walezi wao.
Acha ninenepe, nitake nini nisipate? Nimeamimi old is gold. Mimi wa kupiga round 4 kweli? Acheni tu. Anyway naomba kwa anayefahamu taratibu zao za mahari na gharama zingine.
Mmh wanitisha sanaJiandae kula pilipili za kutosha kuanzia kwenye mboga..ugali..uji..juisi hadi maji ya kunywa wanatia pilipili.
Kila la kheri katika ndoa yako na kanjibai.
#MaendeleoHayanaChama