Rasmi sasa nimejiondoa katika biashara ya foreign exchange (forex)

Mkuu 20 dollars per day unauhakika n ipo kila.siku sasa forex mkuuu n gambling we try to guess the direction of candlestick based on history [emoji23][emoji23]si ndo kubet uko kwamba man uu atashinda koz akiwaga old Trafford anakuwaga wa moto [emoji23]jana wakamalia wamekipata cha moto
 
Mkuu ,ungeingia kwenye ponzi scheme ambayo inadumu mda mrefu na kupata team kubwa ungepiga commission za kibabe

Yaani ungeweza ingiza hata 6m kwa siku ya commission tu watu wanatajirika vbaya sna ila ni wachache wale ambao walianza mapema
 
Unavyoongea utasema kila siku utawin trades
Ndio maana huyo mdau hapo juu nikamwambia Mimi nimeshatoka huko aliko na nimesha loose Sana kwenye fx yaan zaidi ya Sana lakin saivi alhamdulilah nimesahau drowdowns za hasara ambayo hairudishiki kwa siku. Kifupi wew risk management ndio itakua imekutoa kwenye game na kukimbizana na trades kitu ambacho nimepitia hata Mimi tena nahisi zaidi yako kabisaa.
 
Market overanalyzing. Always the Market moves
1.UP
2.DOWN.
3. RANGE or Zigzag.

A. Once you analyse too much you fail.
B. You don't have a single strategy you fail.

C Stick to a single strategy, you can't you fail
N
D. Never ever overtrade or risk too much just 1%per trade is enough... You can't.. you fail.

E. Always lossing trades number is high compared to winning only R: R will save you


F lastly Check the book called "Trade Forex as a business" it will change you completely towards Forex trading and give you more confidence.
 
Tafuta mentor
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…