Rasmi sasa nimejiondoa katika biashara ya foreign exchange (forex)

Kwanza kwa nini unajiita sehemu ya nje ya uchi wa mwanamke? Yaani umekosa kabisa username ukajiita jina la sehemu za siri za kike?
 
Hii kauli or this perception with time itakuja kubadilika. This is meaningless or immaterial kwa mtizamo wangu. It's abstract or illusion kwa wengi. Hakuna idela entry or exit. Yaani wengi wanataka wakiingia tu Basi iwe exact entry the same to exit. That exact entry/exit doesn't exist. Narudia if you're going to stay in the game you'll change mindset soon.
Utagundua mchawi kwenye FX ni entry na exit,
 
Jibu swali hili |

1. Je kwanini ukiingia sokoni unatolewa?
(a) Kwa faida(TP hit)
(b) Kwa hasara (SL Hit) na

2. Nje ya mada: Je nini hasa "imani" yako kuhusu swala la biashara, chukulia biashara ya Nyanya Sokoni, kama mfano. ( #2 Nimeuliza hili swali makusudi).
 
Samahani labda mie Ni kilaza ,sipo kwa ajili ya kushindana ama kuonyesha umwamba. Kwanza mie Ni kilaza,I know nothing. What you're talking is about strategy which is when to enter and when to exit,Ila strategy doesn't make money in this industry. What makes is your mind, psychology, physiology, body chemistry, it's your stomach not your intellect,how do you feel when you exit a trade with either profit or loss is what will determine your success in this industry.
Narudia Tena kusema bila uwoga wowote pamoja kuwa mie Ni kilaza in long run it isn't your entry/exit will make money for 3 decades in this industry.

Entry or exit hata mtt wa miaka minne anayejua ku click anaweza akawin.

Yaani Trading is how do you feel when you're in Winning/losing position.
Why traders take wins quickly but delay to take losses.
Hapo ndipo ilipo Trading wala Hakuna big magic.

Nb: regard me as kilaza so usihangaike na kilaza anaye trade demo account. Puuzia tu asikutoe kwenye rail.
 
2. Nje ya mada: Je nini hasa "imani" yako kuhusu swala la biashara, chukulia biashara ya Nyanya Sokoni, kama mfano. ( #2 Nimeuliza hili swali makusudi).
=
Nitafurahi kupata jibu la swali hili pia, Kama ulivyojibu swali la TP na SL, Nahitaji kujifunza zaidi toka kwako.
 
Thank you for sharing your thoughts and insights.

It’s interesting to hear your perspective on the role of emotions and psychology in trading.

I appreciate your honesty in acknowledging that you don’t know everything and that you’re still learning.

It’s important to keep an open mind and continue to learn and grow in any industry.

Swali lingine la kizushiπŸ‘‡πŸ‘‡
Do you have any advice or tips for someone who is just starting out in trading?
 
Hii thread inakuhusu | πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ’―
=
Baada ya kusoma hiyo thread, kisha tafakari na chukua hatua.
 
Pia soma hii thread yangu | πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ’―
 
It's about subconscious mind which brings effects not conscious mind
 
Am student of my own mind. I know how beliefs, upbringings, thoughts,etc work or manipulate themselves to bring the thought out from inner soul to physical world. Am always kilaza. Ama studying everyday so I never know myself
 
Am student of my own mind. I know how beliefs, upbringings, thoughts,etc work or manipulate themselves to bring the thought out from inner soul to physical world. Am always kilaza. Ama studying everyday so I never know myself

πŸ‘πŸ’―
 
Pia siku ukielewa kuwa Positive thinking or normal thinking of human way doesn't work in this endeavor.
This is abnormal endeavor to man ever known since the dawn of the Earth's creation.
Normal doesn't make money Trading.
When you're suΓ§cessfull Trading everything that you do hurts. We're swimming upstream of human nature,
We're going against our society upbringing, conditioned our mind,yaani we're going against every part of of fiber of neurons, DNA,cells, beliefs and thoughts that are installed in us or inherited from our caveman ancestors era. Na ndio mana inakuwa ngumu wengi wanakimbilia kufundisha , analysis,na kumbuka analysists don't make money Trading may be by doing analysis.
 
Angalau!, now you're talking.
IAM always talking. May be because this one has resonates/gravitate to your beliefs, thinking, thoughts, opinions, assumptions, subjectivity and perception na ndio Mana umekubali. Ila persist in the game long enough to withdrawal those deposit that you've done.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…