stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
Mpuuzi ww unataka nikuoneshe account ipi ,nimeshatoka on sport kitambo.
Nilianza na 40 afu tunaenda mia tano sawa.
Nipo kazini hivyo sipo free kama ww kila Mda kuwepo online ,kuwa chawa ili ule
Kama uamini uniambie naweza ipunguza ikawa kumi afu nianze tena ,usije ukasema 90 kubwa naweza ileta kumi afu nikaipandisha kama kawaida
View attachment 2756051
wek trade history kijana