Rasmi sasa nimejiondoa katika biashara ya foreign exchange (forex)

tena hawakujui vizuri hawa we ndo master fundamental tuwapeleke mpaka $1000 wiki hii 😂😂

au kama vp tuwapigie $1M kama ulivosema mwaka huu ukiwa umekaa
😂😂😂
 
by the way 😂😂😂 sasa unajisifia kua mwajiriwa dont you see yourself as a SLAVE
Slave for what ???
Niliingia kucheza chuo ama
Najiskia fahari kuwa na proffessional inayogusa maisha ya watu.
Inayosaidia waliokata tamaa na kurudisha tumaini jipya.
So nafanya kitu ninachokipenda kama ninachopenda na nilichosotea kama ninavyo ipenda forex!
Nitakuwa mtu wa mwisho duniani kuacha forex na hata wakiacha wote mm siachi
 
wacha porojo nyingi weka trade history ya jana
 
Slave for what ???
Niliingia kucheza chuo ama
Najiskia fahari kuwa na proffessional inayogusa maisha ya watu.
Inayosaidia waliokata tamaa na kurudisha tumaini jipya.
So nafanya kitu ninachokipenda kama ninachopenda na nilichosotea kama ninavyo ipenda forex!
Nitakuwa mtu wa mwisho duniani kuacha forex na hata wakiacha wote mm siachi
mzee mama weka hio trade history ya juzi mbna unkwepa swali
 
Slave for what ???
Niliingia kucheza chuo ama
Najiskia fahari kuwa na proffessional inayogusa maisha ya watu.
Inayosaidia waliokata tamaa na kurudisha tumaini jipya.
So nafanya kitu ninachokipenda kama ninachopenda na nilichosotea kama ninavyo ipenda forex!
Nitakuwa mtu wa mwisho duniani kuacha forex na hata wakiacha wote mm siachi
kwan ugumu uko wap afisa kuweka trade history ya juzi, ama kuna moto uliwaka haha
 
Screenshot_20230921-135929.png
b4 and leo new interest rate
Screenshot_20230921-135845.png
 
Hiyo ni laki saba ,
Wakuu jana sikufanikiwa ku trade interest rate ya us ndomana xkuleta mrejesho, bado dollar mia mbili tujike jero
Screenshot_20230921-140804.png
 
Back
Top Bottom