stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
where is the earlier trade historyHiyo ni laki saba ,
Wakuu jana sikufanikiwa ku trade interest rate ya us ndomana xkuleta mrejesho, bado dollar mia mbili tujike jero View attachment 2757005
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
where is the earlier trade historyHiyo ni laki saba ,
Wakuu jana sikufanikiwa ku trade interest rate ya us ndomana xkuleta mrejesho, bado dollar mia mbili tujike jero View attachment 2757005
Hiyo ni laki saba ,
Wakuu jana sikufanikiwa ku trade interest rate ya us ndomana xkuleta mrejesho, bado dollar mia mbili tujike jero View attachment 2757005
Unatak trading history ipi uongo upi?jitahidi uache kua mwongo mwongo haitakusaidia kokote, just post your trading history
Kilichopotea ni dollar 33,where is the earlier trade history
Unatak trading history ipi uongo upi?
Hiyo account nimeifungua nika deposited dollar 40
kinachokushinda kupost ni nini? unataka kutengeneza image kwa watu kwamba your the best trader ama? weka hio trade history hapo kama unavoweka izo ambazo zmeenda vizuri unaficha nn si ulianza kwa fujo mwenyeweKilichopotea ni dollar 33,
Niliingia wrong position sasa imerud mara kumi,
Huoni aibu unang'ang'ania dollar 33 lakini dollar mia tatu unachofanya huzioni,
Okay account huwa naweka kiasi ambacho na afford to risk sawa.
Zilichomeka ila zimerudmara kumi kukosea ni part ya game
EXPLICITY ulianza fujo mwenyewe weka hio trade history apa watu waone ulichokua unajigamba nacho!Unatak trading history ipi uongo upi?
Hiyo account nimeifungua nika deposited dollar 40
Unatak trading history ipi uongo upi?
Hiyo account nimeifungua nika deposited dollar 40
Siweki,😛😛EXPLICITY ulianza fujo mwenyewe weka hio trade history apa watu waone ulichokua unajigamba nacho!
Nani kakwambia mm ni trader mzur ,mm nimeshare expirience kuna muda na poteza nilishawahi poteza millions of money,🥺🥺EXPLICITY ulianza fujo mwenyewe weka hio trade history apa watu waone ulichokua unajigamba nacho!
Hapo kwenye umentor ndipo panalipa unapokusanya wajinga wengi pesa lazima itengenezeNi live ZOOM session (kuanzia saa 2asubuhi hadi saa 9alasi tunakuwa tumeifunga siku)ya Wiki moja tu | Unakuwa sawa | Sababu uta_copy my Daily Routeen | Na utakuwa na kila kitendea kazi nnachokitumia.
EXPLICITY ulianza fujo mwenyewe weka hio trade history apa watu waone ulichokua unajigamba nacho!
Siweki,😛😛
its possible na unaficha trading history? au unadhan hatujui MT4?Nani kakwambia mm ni trader mzur ,mm nimeshare expirience kuna muda na poteza nilishawahi poteza millions of money,🥺🥺
Nikabaki sina kitu cpo kufanya show off nipo ku encourage vijana wenzangu walio kata tamaa.
Cpo kibiashara na usipoteze Mda kunifata.
Nipo kuonesha it's possible,
Watu wa forex wanasemwa sana hamna hata mmoja wa kuonesha umma kuwa hii kitu ni possible
Nawaonea huruma wanaokuchukulia seriousView attachment 2757153kuhusu eurAud umeenda sema nilikosea timing😀😀😛😛 kama ni mzee wa risk management basi haujapata asala zile ps 50 umezipata
we jamaa bana, umetoka kusema kazi unaipenda na umeisomea, sasa unataka kuacha kwa ajili ya forex utaacha kua mwongo mwongo liniNdoto zangu ni kutengeneza 1M $
Hapo nitakuwa na assurance ya kuacha kazi.
Ushauri usitegemee forex tu,kuwa na alternative ,Achana na wapiga kelele hata uyo anayepiga kelele najua anikubali sema hataki kusema🤓🤓
Kuhusu kupoteza kupo na kilichopotea ni kiwango ninachoweza poteza mara mia mbili zaid so I afford to lose,
Usirisk pesa uliyojuu ya uwezo wako hata dollar 3 mm kwangu ni kubwa sana ipo siku nitadeposit dollar 3 afu nitatrade sawa
unapoamua kumtia mtu moyo unatakiwa umuonyeshe mtu kila kitu anapoingia ajue anaenda kukutana na nn sasa wewe trade moja ushaanza kujificha unategemea watu wanatiwa vp moyo,Nipo kutia moyo wale waliopoteza tumaini it's possible nimefanya mara nyingi nanafanya cjafika bado,
Ingawa nauona Mwanya kwa mbali sana 😛😛😛😀
Cyo successfully bado najitafuta but kwenye mbio za wanaoenda na mm hata kama ni wa mwisho naenda.
Nipo kuonesha dunia trading is skill na si mtaji,kupoteza kupo mm nilishaga poteana ,even hakuwepo hata wa kunishika mkono, nilishaacha kazi ni trade ,matokeo yake nikakosa hata mia.
Nilisha deposit ada mwisho wa Siku nikaishia kurudia mwaka.
Kijana hii kitu ni possible but c rahisi hata kidogo,hakuna game ngumu kama hii .
Haijarixh upo smart shuleni au mtaani kiasi gani huku tuliza ball Acha wenye jifunze,Achana na wanaopiga kelele hata mil 1 hawana wanategemea mshahara wa laki tano KWA mwezi😀 wa masimango.
Hii kitu ni ngumu ila ukijua kuna raha furani unapata , imagine ndani ya Saa moja umeingiza mil 1 ,et unajixkiaje?🤓