Rasmi sasa nimejiondoa katika biashara ya foreign exchange (forex)

where is the earlier trade history
Kilichopotea ni dollar 33,
Niliingia wrong position sasa imerud mara kumi,
Huoni aibu unang'ang'ania dollar 33 lakini dollar mia tatu unachofanya huzioni,
Okay account huwa naweka kiasi ambacho na afford to risk sawa.
Zilichomeka ila zimerudmara kumi kukosea ni part ya game
 
kinachokushinda kupost ni nini? unataka kutengeneza image kwa watu kwamba your the best trader ama? weka hio trade history hapo kama unavoweka izo ambazo zmeenda vizuri unaficha nn si ulianza kwa fujo mwenyewe
 
Unatak trading history ipi uongo upi?
Hiyo account nimeifungua nika deposited dollar 40
EXPLICITY ulianza fujo mwenyewe weka hio trade history apa watu waone ulichokua unajigamba nacho!
 
its your shadow POST IT, its still yours! dont create a bad image like that 😂 😂
 
EXPLICITY ulianza fujo mwenyewe weka hio trade history apa watu waone ulichokua unajigamba nacho!
Nani kakwambia mm ni trader mzur ,mm nimeshare expirience kuna muda na poteza nilishawahi poteza millions of money,🥺🥺
Nikabaki sina kitu cpo kufanya show off nipo ku encourage vijana wenzangu walio kata tamaa.
Cpo kibiashara na usipoteze Mda kunifata.
Nipo kuonesha it's possible,
Watu wa forex wanasemwa sana hamna hata mmoja wa kuonesha umma kuwa hii kitu ni possible
 
Nipo kutia moyo wale waliopoteza tumaini it's possible nimefanya mara nyingi nanafanya cjafika bado,
Ingawa nauona Mwanya kwa mbali sana 😛😛😛😀
Cyo successfully bado najitafuta but kwenye mbio za wanaoenda na mm hata kama ni wa mwisho naenda.
Nipo kuonesha dunia trading is skill na si mtaji,kupoteza kupo mm nilishaga poteana ,even hakuwepo hata wa kunishika mkono, nilishaacha kazi ni trade ,matokeo yake nikakosa hata mia.
Nilisha deposit ada mwisho wa Siku nikaishia kurudia mwaka.
Kijana hii kitu ni possible but c rahisi hata kidogo,hakuna game ngumu kama hii .
Haijarixh upo smart shuleni au mtaani kiasi gani huku tuliza ball Acha wenye jifunze,Achana na wanaopiga kelele hata mil 1 hawana wanategemea mshahara wa laki tano KWA mwezi😀 wa masimango.
Hii kitu ni ngumu ila ukijua kuna raha furani unapata , imagine ndani ya Saa moja umeingiza mil 1 ,et unajixkiaje?🤓
 
Ndoto zangu ni kutengeneza 1M $
Hapo nitakuwa na assurance ya kuacha kazi.
Ushauri usitegemee forex tu,kuwa na alternative ,Achana na wapiga kelele hata uyo anayepiga kelele najua anikubali sema hataki kusema🤓🤓
Kuhusu kupoteza kupo na kilichopotea ni kiwango ninachoweza poteza mara mia mbili zaid so I afford to lose,
Usirisk pesa uliyojuu ya uwezo wako hata dollar 3 mm kwangu ni kubwa sana ipo siku nitadeposit dollar 3 afu nitatrade sawa
 
Ni live ZOOM session (kuanzia saa 2asubuhi hadi saa 9alasi tunakuwa tumeifunga siku)ya Wiki moja tu | Unakuwa sawa | Sababu uta_copy my Daily Routeen | Na utakuwa na kila kitendea kazi nnachokitumia.
Hapo kwenye umentor ndipo panalipa unapokusanya wajinga wengi pesa lazima itengeneze
 
EXPLICITY ulianza fujo mwenyewe weka hio trade history apa watu waone ulichokua unajigamba nacho!
Screenshot_20230921-162931.png
kuhusu eurAud umeenda sema nilikosea timing😀😀😛😛 kama ni mzee wa risk management basi haujapata asala zile ps 50 umezipata
 
Nani kakwambia mm ni trader mzur ,mm nimeshare expirience kuna muda na poteza nilishawahi poteza millions of money,🥺🥺
Nikabaki sina kitu cpo kufanya show off nipo ku encourage vijana wenzangu walio kata tamaa.
Cpo kibiashara na usipoteze Mda kunifata.
Nipo kuonesha it's possible,
Watu wa forex wanasemwa sana hamna hata mmoja wa kuonesha umma kuwa hii kitu ni possible
its possible na unaficha trading history? au unadhan hatujui MT4?
 
Ndoto zangu ni kutengeneza 1M $
Hapo nitakuwa na assurance ya kuacha kazi.
Ushauri usitegemee forex tu,kuwa na alternative ,Achana na wapiga kelele hata uyo anayepiga kelele najua anikubali sema hataki kusema🤓🤓
Kuhusu kupoteza kupo na kilichopotea ni kiwango ninachoweza poteza mara mia mbili zaid so I afford to lose,
Usirisk pesa uliyojuu ya uwezo wako hata dollar 3 mm kwangu ni kubwa sana ipo siku nitadeposit dollar 3 afu nitatrade sawa
we jamaa bana, umetoka kusema kazi unaipenda na umeisomea, sasa unataka kuacha kwa ajili ya forex utaacha kua mwongo mwongo lini
 
Nipo kutia moyo wale waliopoteza tumaini it's possible nimefanya mara nyingi nanafanya cjafika bado,
Ingawa nauona Mwanya kwa mbali sana 😛😛😛😀
Cyo successfully bado najitafuta but kwenye mbio za wanaoenda na mm hata kama ni wa mwisho naenda.
Nipo kuonesha dunia trading is skill na si mtaji,kupoteza kupo mm nilishaga poteana ,even hakuwepo hata wa kunishika mkono, nilishaacha kazi ni trade ,matokeo yake nikakosa hata mia.
Nilisha deposit ada mwisho wa Siku nikaishia kurudia mwaka.
Kijana hii kitu ni possible but c rahisi hata kidogo,hakuna game ngumu kama hii .
Haijarixh upo smart shuleni au mtaani kiasi gani huku tuliza ball Acha wenye jifunze,Achana na wanaopiga kelele hata mil 1 hawana wanategemea mshahara wa laki tano KWA mwezi😀 wa masimango.
Hii kitu ni ngumu ila ukijua kuna raha furani unapata , imagine ndani ya Saa moja umeingiza mil 1 ,et unajixkiaje?🤓
unapoamua kumtia mtu moyo unatakiwa umuonyeshe mtu kila kitu anapoingia ajue anaenda kukutana na nn sasa wewe trade moja ushaanza kujificha unategemea watu wanatiwa vp moyo,

- pia trading sio kazi tushawaambia mara kibao hakuna mtu anatrade full time na hawezi kuwepo unless anajihusisha na kuuza COURSES, wanaotrade forex halisi lengo lao sio kutengeneza pesa na haijawahi kua ivo ni nyie viherehere na brokers ndo wanafanya watu waone kama forex ni kazi ila kiuhalisia wapo kibiashara zaidi, they make money from your trading activities
 
Back
Top Bottom