Rasmi sasa nimejiondoa katika biashara ya foreign exchange (forex)

and i will add on that NEWS isnt a trading factor, if you want to make a living from trading you have to be execeptional or above all other traders, there are some ways to do this example

  • you can have INSIDER INFO which is pretty hard
  • you can do whats called HFT(HIGH FREQUENCY TRADING)
-Front running

anything other from these losses are going to be your best friend
'TILL THEN reality is meant to HIT YOU
 
Kwa wenye uhitaji wa FREE signal basi subscribe hii thread | Only Live Trades | Page 98 | Forex Factory
=
1695367212658.png

GBPUSD nimepost hapa | Only Live Trades | Page 97 | Forex Factory

Real trader hupost kabla ya price movement na sio baada ya, Hii itamsaidia na yule anayejifunza.
=
Kwenye hii thread niligusia EURUSD hapo juu | floating positive pips hizo hapo | Angalia post #498
1695367335958.png

- Tunazungumza kile tunachokifanya kwa vitendo | sio bla bla za kuchora chora chati na kusema ndio analysis
 
aya upunguze mdomo sasa kama unaogopa kuweka trading history yako hadharani baki na vijimaneno vvya

i havent asked for much mwambieni ndugu yenu aweke trade history kwan nn kigumu apo? mnaficha ficha nn kwenye hii biashara? 😂😂
Siweki , sizani kama ni lengo la kuona previous history sipo kuonesha what happened on my accounts nipo kuonesha from 40 -500 by fundamental.
Nipo ku encourage vijana waliokata tamaa nipo kuonesha expirience yangu ndogo.
S9 sizani kama history yangu inasaidia chochote.
Nina account nne ,Kati ya hizo nina account mama ninachofanya ni ku deposit small position na kutrade hadi lengo afu naanza tena .
 
'TILL THEN reality is meant to HIT YOU
So kitu unachoitaji hutopata bcoz siyo lengo but ninachoweza kuweka is from I deposit 40 to now ,nitaweka mwishoni na kama umefatilia series yote umeona nilipo fail nimeonesha nilipo win also. Na kila kitu ni real chukua penis na kalatasi jumlisha na toa zote utapata the no. On balance
So ts journey to 500 from 40 ,ndo lengo mengine hayakuhusu. Na usitegemee
 
Only fools will take you serious
 
as i said (ONLY FOOLS WILL TAKE YOU SERIOUS), MT4 games zmechezwa sana so GET FOOL OTHER PEOPLE
 
huo mda unaotaka kutumia encourage watu ni vema ukautumia kujiencourage kutoka kwenye kua mtumwa wa AJIRA atleast thamani yako iwe respected
 
Am enjoyed to do what I love ,😛😛
U don't need to encourage me kabla ya kunishauri jishauri wewe kwanza,
Kabda ya kuniambia nilishajipa limit ya grade min ambayo nikifika nitaachana na ajira
 
as i said (ONLY FOOLS WILL TAKE YOU SERIOUS), MT4 games zmechezwa sana so GET FOOL OTHER PEOPLE
Sawa it's just game, uwe unapitia zile chat ninazoweka, uzuri naweka dk tano baada basi kama ni game rahisi fanya na wewe tupostie before and after na result sawa
 
Am enjoyed to do what I love ,😛😛
U don't need to encourage me kabla ya kunishauri jishauri wewe kwanza,
Kabda ya kuniambia nilishajipa limit ya grade min ambayo nikifika nitaachana na ajira

do what you love 😂 😂 , piga kazi kijana usije kosa mshahara
 
Sawa it's just game, uwe unapitia zile chat ninazoweka, uzuri naweka dk tano baada basi kama ni game rahisi fanya na wewe tupostie before and after na result sawa

huo utoto naujua sana, nna maaana kubwa sana kusema post trade history yako japokua sjawahi kua na hio app but forex nmeifanya on a CB level, so nkuhakikishie tu at the end of the day you will still loose no matter how hard you try you wont beat the market 😂
 
Sawa it's just game, uwe unapitia zile chat ninazoweka, uzuri naweka dk tano baada basi kama ni game rahisi fanya na wewe tupostie before and after na result sawa

- we unadhan kila mtu kichwa panzi kama wewe, mnakurupuka kuingiaa kwenye sector ambayo hutaiweza, mkishajuaga tu candlesticks mnaona dunia nzima yenu na watu wengine hawana akili 😂😂

- nkuhakikishie tu you will still loose at the end no matter how hard you try: Na sio mm tu nakwambia u will still loose unaweza kusoma hapa ukaelewa kabisa why you will still loose: Most day traders end up losing money over time. Here’s why.
 
Am enjoyed to do what I love ,😛😛
U don't need to encourage me kabla ya kunishauri jishauri wewe kwanza,
Kabda ya kuniambia nilishajipa limit ya grade min ambayo nikifika nitaachana na ajira

nkukumbushe tu ndoto yako ya $1M its impossible to reach and sio kwa sababu ya personal issues ila ndo ukwel halisi, jitahidi huu mda unahangaika kupoteza ela kufanya something more productive, REMEMBER: MUDA NI PESA
 
Forex is pure nonsense. In fact Forex is gambling.

I don't know why are the people still wasting time on it.
 
- we unadhan kila mtu kichwa panzi kama wewe, mnakurupuka kuingiaa kwenye sector ambayo hutaiweza, mkishajuaga tu candlesticks mnaona dunia nzima yenu na watu wengine hawana akili 😂😂

- nkuhakikishie tu you will still loose at the end no matter how hard you try: Na sio mm tu nakwambia u will still loose unaweza kusoma hapa ukaelewa kabisa why you will still loose: Most day traders end up losing money over time. Here’s why.
Wewe unakila sifa ya kuwa mchawi, ipo hivi ,wachawi wote wanatabia kama zako. Na ukiendelea HV utakuwa mchawi
The statement yako imesema Most haijasema all,😛😛
 
because they still want to step on fire
From today sitoendelea kukujibu ur sms hata nikikupa withdraw history huwezi amini.
Kama unahisi ni gambling basi sawa endeleza kuamini hivyo.
Sikulazimishi but believe my words unatabia za kike na kichawi.
Kuhusu challenge siyo endeleza bcoz the news are no longer useful. So ndo hvyo
 
Back
Top Bottom