Rasmi sasa nimejiondoa katika biashara ya foreign exchange (forex)

mtu anakwambia ana 5 years of experience ukimwambia weka trade history anaingia mitini 😂 😂 ,lakini yupo mstari wa mbele kuita wanafunzi waje kujifunza kwa kuwaambia ni mil 1 kila dakika 3 😂😂, kila wiki mil 10 anakwambia
Sasa hao hawana utofauti na matapeli.. ila haimaanishi kila mtu anayejishughulisha na hilo swala ni tapeli.. hapana..
 
wengi wamevamia field kama huyo kijana haelewi hata kwann forex market ipo na lengo lake ni nn, ila anaweza kuaambia watu tunatengeneza mil 3 kila dakika, aya ukimwambia onyesha trading history huyo kaingia mitini
 
😂😂😂😂 nimekuelewa mkuu kuna ukweli katika usemalo..
 
ulishawai fanya forex lakni ndugu?

alafu mnachofanya kwenye MT4 sio forex na haina uhusiano na forex kwa ukubwa huo, kinachofanyika ni kupata kitu kinaitwa PERPETUAL CONTRACT ya forex trade but haina muingiliano na forex, ni kama ubet mechi za primia ligi alafu useme unafanya uwekezaji primia ligi
 
Mkuu unamjua sir Jeff aka Ontario ndo alileta hii forex humu jukwaani tumshukuru Sana Sasa wewe sijui vipi mbona naona Kama unapuyanga
 
Back
Top Bottom