Mwisho kuwasaidia mabigginer hakuna strategy sahihi kwenye forex.
Strategy sahihi ni ile ninayoweza kutengeneza kipato.
-Mfano mtu wa technical atakwambia inorder utrade forex Lazima uzingatie mtaji mkubwa(yupo sahihi sana)
Mm wa fundamental mtaji ,siyo kigezo nakuwa makini bcoz nilichokideposit nipo tayari kupoteza. Kwangu muhimu ni leverage
-Mtu wa technical atakwambia analysis from higher time frame to low
Ila sisi wa fundamental ,tunaanalysis what happen at current price bcoz news is inversely proportinal to previous information. So Hata time frame zetu ni tofaut na lower sana but maajabu tunapiga mishindo minene 🤓😀
Katika Mda machache
Mtu wa technical atakwambia Zingatia lot , mm nitakwambia Zingatia margin ,sisi mtaji kisoda lot tembo.
🤓🤓.
( Usisahau trade for your own risk)
## Usisahau usipo kuwa kwny asilimia (1%) moja lazima uhisi kuna mwamba anakuibia,kuna uchawi ,kuna utapeli
Fikiria Kati ya watu 100 mmoja tu.
Lazima uone ni kubeti
## Mabilionare wapo 2000 duniani Hamna mwajiriwa Kati yao.