Nakuongezea jambo Dogo sana
Siri ya trading haipo katika mambo mengi na makubwa sana.
Nakuambia kwamaana hamna kitabu kigeni ,amna indicator ngeni na hamna strategy utakuja nayo ngeni kwangu .
Hakuna nilipo analysis wala nilipoonesha analysis zaidi ya kuonesha b4 and after.
Na nimefanya maranyingi ninachokifanya mara nyingi.
Bcoz trading is personal journey .
Lazima uamue peke yako kuwa trader
kwamaana mm siyo technical ni fundamental so namna ninavyo angalia chat kuna utofauti mkubwa sana na watu wa technical traders.
Profitable ni vile unavyoongalia.
Ninachokipata kinanitosha , my self I see am profitable Withdraw history ni mambo private ,
Mfano am out kwa market the whole week . Je mtu wa technical anaweza?
Pili sipo kwaajiri ya kufundisha
Nipo ku encourage inawezekana.na wamekuja inbox wengi niliyemkubalia aje hapa. Na nilisema mwanzoni.
Trading ni siri kila mtu ana yake.kila profitable au successful kwny hii biashara ana yake. Na Hata akikufundisha vyote uwez kuwa kama yeye.
History is private how I analysis is also private.
#Mafanikio yoyote ni siri.
Mwanetu hapo naamini siyo profitable trader au atakuwa ana knowledge lakini siyo sniper wa chart.na kumjua trader mzuri ni kupitia trade history au charts zake anavochukuwa entries zake na kwa time frame gani.hapo ni rahisi kujua huyu mtu anajua au hajui.