Rasmi sasa nimejiondoa katika biashara ya foreign exchange (forex)

Mkuu unamjua sir Jeff aka Ontario ndo alileta hii forex humu jukwaani tumshukuru Sana Sasa wewe sijui vipi mbona naona Kama unapuyanga

endelea kushukuru hivo hivo, unajua huyo alieileta yupo katika hali gan saaahv kiuchumi
 
Big brain yule mkuu atatusua tena
Yule jamaa nipo nae Mafinga saizi ameingia kwenye biashara ya mbao, sir Jeff huwa anajiaema huko twitter yupo kwenye kipindi kigumu financially lakini tukikutana huku kwenye mbao anajikuta mzigo hata wa bilioni moja magari yanapangana tuuu kupeleka mzigo kwake, huwa nashangaa kwa nn anasema amefulia ilhali anampinga mrefu sana, na sikuiz maisha yake hawezi sana mtandaoni kama zamani.
 
Baada ya muda mrefu wa kukomaa na candlestick na video za YouTube rasmi nimejitoa kwenye biashara hii ya forex.

Lengo la uzi huu ni kuwakaribisha newbie kwenye hii biashara ya forex inayosadikika kuwa na utajiri mkubwa sana. Kama yupo yoyote ambae angependa kuanza biashara hii anichek niweze kushare nae important pdfs kuhusu forex na useful YouTube channels zenye material ya forex.

Mwisho kabisa nipende kuwatia moyo wote ambao n ndoto yenu kuprint pesa nyingi kupitia biashara hii kwamba forex is real na sio scam kama inavyosemekana uko mitaani.

Nawasalisha
Wako katika ujenzi wa taifa
Labia majora

View: https://www.youtube.com/watch?v=w6JXZ3GzSCQ&t=245s&pp=ygULYmJjIHNjYW1tZXI%3D
 
Yule jamaa nipo nae Mafinga saizi ameingia kwenye biashara ya mbao, sir Jeff huwa anajiaema huko twitter yupo kwenye kipindi kigumu financially lakini tukikutana huku kwenye mbao anajikuta mzigo hata wa bilioni moja magari yanapangana tuuu kupeleka mzigo kwake, huwa nashangaa kwa nn anasema amefulia ilhali anampinga mrefu sana, na sikuiz maisha yake hawezi sana mtandaoni kama zamani.
Ahaha type stori mkuu kitambo jamaa simuoni, vipi ana mke? Vipi kajengaa nyumba ya kuishi? vipi hiyo biashara ya mbao anaifanya kwa staili gani?
 
alafu mnachofanya kwenye MT4 sio forex na haina uhusiano na forex kwa ukubwa huo, kinachofanyika ni kupata kitu kinaitwa PERPETUAL CONTRACT ya forex trade but haina muingiliano na forex, ni kama ubet mechi za primia ligi alafu useme unafanya uwekezaji primia ligi
Mkuu kwema? Forex tunayofanya sisi tunafanya kitu kinaitwa speculation of financial markets, tunaantispate moves za masoko, hatununua sarafu yoyote.

Kuna kitu kinaitwa CFD yaani contract for difference. Yaani unanufaika baada ya kubuy au kusell contracts.unapobuy Kuna price mbili utatakiwa kusifahamu, entry and exist price, tofauti ya hizo prices ndio unapata faida au loss.

Sasa Huku tunafanya hii biashara kwa mtindo huu, tunanunua pair za sarafu ambazo zipo katika mtindo wa mafungu yaani LOT SIZES hatubadilishi sarafu zozote.. so unapolace position unakuwa umefungua contract na broker na unapofunga position unakuwa Sasa umefunga contract na broker.sasa tofauti ya price ya entry ya pair na exist ndizo zinaamua Sasa upate faida au loss.

Hivyo basi kwenye fx kupitia MT4 or MT5 hatubadilishi sarafu yoyote..tunabet au kutabiri mwelekeo wa masoko ya fedha, unapopatia mwelekeo unapata faida na unapokosea mwelekeo unapata loss.

Faida unapataje? Au inatafutwaje?
Unachukuwa
Entry price - closing price =pips

Pips * lot size value =total profits or loss made in USD.

Forex ni ngumu sanaa, hata Mimi nimepotezaa pesa nyingi kwa mentors.. ila ndiyo hivyo nachukulia ni mapito tu, mentor wengi ni wasiri wanaficha maisha Yao ya uhalisia unakuta mentor anasemA anapiga 1000$ per day ila anakosa hela ya bando au unakuta hata kiwanjaa Hana au hata ada ya mtoto wake hajalipaa..! Huyo ndio mentor inategemea utoboe.mimi niliamua kujifungia ndani na kusoma mwenyewe, so najua machungu ya forex kwenye kupoteza pesa kunaumaaa sanaa.

Mwanetu hapo naamini siyo profitable trader au atakuwa ana knowledge lakini siyo sniper wa chart.na kumjua trader mzuri ni kupitia trade history au charts zake anavochukuwa entries zake na kwa time frame gani.hapo ni rahisi kujua huyu mtu anajua au hajui.
 
Yule jamaa nipo nae Mafinga saizi ameingia kwenye biashara ya mbao, sir Jeff huwa anajiaema huko twitter yupo kwenye kipindi kigumu financially lakini tukikutana huku kwenye mbao anajikuta mzigo hata wa bilioni moja magari yanapangana tuuu kupeleka mzigo kwake, huwa nashangaa kwa nn anasema amefulia ilhali anampinga mrefu sana, na sikuiz maisha yake hawezi sana mtandaoni kama zamani.
Mjanja mnjanja yule kufulia si rahisi yule dogo yani pesa anazo ata akiisema anafundisha kwa laki hakosi watu chini ya 300 chap,
 
kwanza nkupongeze naweza sema umefanya research kwa undan sana na hivi ndo nlikua nategemea mtu mwenye akili timamu ajibu, ni huzuni sana hawa vijana wanaotumia MT4 midomo mingi na hawajui kua izo ni PERPETUAL CONTRACTS na hazina uhusiano na soko

- hongera sana umefanya research ya kutosha, sina cha kuongezea maaana umeelezea vizuri kabisa
 
Yukoje mkuu kiuchumi maa a na mimi imenipukutisha hela zote hii forexnxnsk

kiukwel sijui ana hali gan maaana sio mfuatiliaji sana wa forex, nshafanya forex central bank but naelewa vijana wa MT4 wanachofanya japo sjawahi ata kudownload app ya mt4 ila naelewa kinachofanyika
- ila vijana wa forex wengi hawaingizi pesa kupitia forex either wanafundisha ama wana biashara za pemben kama kijana apo alivo mwajiriwa
 
Yule jamaa nipo nae Mafinga saizi ameingia kwenye biashara ya mbao, sir Jeff huwa anajiaema huko twitter yupo kwenye kipindi kigumu financially lakini tukikutana huku kwenye mbao anajikuta mzigo hata wa bilioni moja magari yanapangana tuuu kupeleka mzigo kwake, huwa nashangaa kwa nn anasema amefulia ilhali anampinga mrefu sana, na sikuiz maisha yake hawezi sana mtandaoni kama zamani.

sometimes mtu akijua hauna hela inakuepusha na mambo mengi
 
5 years? Hata ikiwa mia.. nakuonea huruma! Ila kuna siku utakua
🤓🤓
Yukoje mkuu kiuchumi maa a na mimi imenipukutisha hela zote hii forexnxnsk
Pole haikuwa Kwa ajiri yako,
Unalolipitia nilishawahi kupitia.....🙏🙏
Usijali Fanya unaloliona ni sawa.

....🤓🤓🤓
Dunia inakupa choice ya nini ufanye si kila mtu Lazima afaulu fx.
Tukifaulu wote heshima yake haitokuwepo.
Acha watu wafeli ili heshima iwepo.
 
wewe kwan umefaulu FX 😂 😂 😂: alafu FX sio kazi ni kubeti kichwa chako kigumu
 
Nakuongezea jambo Dogo sana
Siri ya trading haipo katika mambo mengi na makubwa sana.
Nakuambia kwamaana hamna kitabu kigeni ,amna indicator ngeni na hamna strategy utakuja nayo ngeni kwangu .

Hakuna nilipo analysis wala nilipoonesha analysis zaidi ya kuonesha b4 and after.
Na nimefanya maranyingi ninachokifanya mara nyingi.
Bcoz trading is personal journey .
Lazima uamue peke yako kuwa trader
kwamaana mm siyo technical ni fundamental so namna ninavyo angalia chat kuna utofauti mkubwa sana na watu wa technical traders.
Profitable ni vile unavyoongalia.
Ninachokipata kinanitosha , my self I see am profitable Withdraw history ni mambo private ,

Mfano am out kwa market the whole week . Je mtu wa technical anaweza?
Pili sipo kwaajiri ya kufundisha
Nipo ku encourage inawezekana.na wamekuja inbox wengi niliyemkubalia aje hapa. Na nilisema mwanzoni.

Trading ni siri kila mtu ana yake.kila profitable au successful kwny hii biashara ana yake. Na Hata akikufundisha vyote uwez kuwa kama yeye.

History is private how I analysis is also private.
#Mafanikio yoyote ni siri.

Mwanetu hapo naamini siyo profitable trader au atakuwa ana knowledge lakini siyo sniper wa chart.na kumjua trader mzuri ni kupitia trade history au charts zake anavochukuwa entries zake na kwa time frame gani.hapo ni rahisi kujua huyu mtu anajua au hajui.
 
Mkuu kwema? Forex tunayofanya sisi tunafanya kitu kinaitwa speculation of financial markets, tunaantispate moves za masoko, hatununua sarafu yoyote.

Kuna kitu kinaitwa CFD yaani contract for difference. Yaani unanufaika baada ya kubuy au kusell contracts.unapobuy Kuna price mbili utatakiwa kusifahamu, entry and exist price, tofauti ya hizo prices ndio unapata faida au loss.

Sasa Huku tunafanya hii biashara kwa mtindo huu, tunanunua pair za sarafu ambazo zipo katika mtindo wa mafungu yaani LOT SIZES hatubadilishi sarafu zozote.. so unapolace position unakuwa umefungua contract na broker na unapofunga position unakuwa Sasa umefunga contract na broker.sasa tofauti ya price ya entry ya pair na exist ndizo zinaamua Sasa upate faida au loss.

Hivyo basi kwenye fx kupitia MT4 or MT5 hatubadilishi sarafu yoyote..tunabet au kutabiri mwelekeo wa masoko ya fedha, unapopatia mwelekeo unapata faida na unapokosea mwelekeo unapata loss.

Faida unapataje? Au inatafutwaje?
Unachukuwa
Entry price - closing price =pips

Pips * lot size value =total profits or loss made in USD.

Forex ni ngumu sanaa, hata Mimi nimepotezaa pesa nyingi kwa mentors.. ila ndiyo hivyo nachukulia ni mapito tu, mentor wengi ni wasiri wanaficha maisha Yao ya uhalisia unakuta mentor anasemA anapiga 1000$ per day ila anakosa hela ya bando au unakuta hata kiwanjaa Hana au hata ada ya mtoto wake hajalipaa..! Huyo ndio mentor inategemea utoboe.mimi niliamua kujifungia ndani na kusoma mwenyewe, so najua machungu ya forex kwenye kupoteza pesa kunaumaaa sanaa.

Mwanetu hapo naamini siyo profitable trader au atakuwa ana knowledge lakini siyo sniper wa chart.na kumjua trader mzuri ni kupitia trade history au charts zake anavochukuwa entries zake na kwa time frame gani.hapo ni rahisi kujua huyu mtu anajua au hajui.

sasa kijana wetu ukimwambia leta trade history ni anakua kama manara 😂😂
 
Nakuongezea jambo Dogo sana
Siri ya trading haipo katika mambo mengi na makubwa sana.
Nakuambia kwamaana hamna kitabu kigeni ,amna indicator ngeni na hamna strategy utakuja nayo ngeni kwangu .

Hakuna nilipo analysis wala nilipoonesha analysis zaidi ya kuonesha b4 and after.
Na nimefanya maranyingi ninachokifanya mara nyingi.
Bcoz trading is personal journey .
Lazima uamue peke yako kuwa trader
kwamaana mm siyo technical ni fundamental so namna ninavyo angalia chat kuna utofauti mkubwa sana na watu wa technical traders.
Profitable ni vile unavyoongalia.
Ninachokipata kinanitosha , my self I see am profitable Withdraw history ni mambo private ,

Mfano am out kwa market the whole week . Je mtu wa technical anaweza?
Pili sipo kwaajiri ya kufundisha
Nipo ku encourage inawezekana.na wamekuja inbox wengi niliyemkubalia aje hapa. Na nilisema mwanzoni.

Trading ni siri kila mtu ana yake.kila profitable au successful kwny hii biashara ana yake. Na Hata akikufundisha vyote uwez kuwa kama yeye.

History is private how I analysis is also private.
#Mafanikio yoyote ni siri.

tushakuelewa aya tupe trade history baada ya kufanya mambo yako private utakua na mabilioni saaahv maaana ulisema ni mil 3 kila dakika 15
 
Forex ipo katika mambo machache na marahisi ili ufanikiwe Lazima uije iyo siri ,Lazima ujifunze chat iwe rahisi kwako .
Believe my words waliofanikiwa kwenye hili game kuna namna wanaona chat usisahau.
Kama asilimia 99% wanafeli asilimia moja tu wanafaulu basi.
Wanaoferi Lazima wahisi ni kubeti ila binasfi yangu si beti. Nafanya kitu ninachokifahamu na nafanya hivyo kila niingiapo sokoni
 
Nakuongezea jambo Dogo sana
Siri ya trading haipo katika mambo mengi na makubwa sana.
Nakuambia kwamaana hamna kitabu kigeni ,amna indicator ngeni na hamna strategy utakuja nayo ngeni kwangu .

Hakuna nilipo analysis wala nilipoonesha analysis zaidi ya kuonesha b4 and after.
Na nimefanya maranyingi ninachokifanya mara nyingi.
Bcoz trading is personal journey .
Lazima uamue peke yako kuwa trader
kwamaana mm siyo technical ni fundamental so namna ninavyo angalia chat kuna utofauti mkubwa sana na watu wa technical traders.
Profitable ni vile unavyoongalia.
Ninachokipata kinanitosha , my self I see am profitable Withdraw history ni mambo private ,

Mfano am out kwa market the whole week . Je mtu wa technical anaweza?
Pili sipo kwaajiri ya kufundisha
Nipo ku encourage inawezekana.na wamekuja inbox wengi niliyemkubalia aje hapa. Na nilisema mwanzoni.

Trading ni siri kila mtu ana yake.kila profitable au successful kwny hii biashara ana yake. Na Hata akikufundisha vyote uwez kuwa kama yeye.

History is private how I analysis is also private.
#Mafanikio yoyote ni siri.

pesa haihitaji kelele 😂😂😂, kama unazo unazo tu na lazima uheshimiwe kuanzia unaamka mpaka unalala, sasa wewe ukiamka lazima upeleke ndonga ofisini , lakini kelele kama pesa unayo
 
Back
Top Bottom