Rasmi sasa nimejiondoa katika biashara ya foreign exchange (forex)

Forex ipo katika mambo machache na marahisi ili ufanikiwe Lazima uije iyo siri ,Lazima ujifunze chat iwe rahisi kwako .
Believe my words waliofanikiwa kwenye hili game kuna namna wanaona chat usisahau.
Kama asilimia 99% wanafeli asilimia moja tu wanafaulu basi.
Wanaoferi Lazima wahisi ni kubeti ila binasfi yangu si beti. Nafanya kitu ninachokifahamu na nafanya hivyo kila niingiapo sokoni

una uhakika gan kama hao 1% wanasoma charts kama wewe?
 
Forex ipo katika mambo machache na marahisi ili ufanikiwe Lazima uije iyo siri ,Lazima ujifunze chat iwe rahisi kwako .
Believe my words waliofanikiwa kwenye hili game kuna namna wanaona chat usisahau.
Kama asilimia 99% wanafeli asilimia moja tu wanafaulu basi.
Wanaoferi Lazima wahisi ni kubeti ila binasfi yangu si beti. Nafanya kitu ninachokifahamu na nafanya hivyo kila niingiapo sokoni

vp mamilioni yanaendelea 😂😂😂, maaana ni mil 3 kila dakika 15 kuanzia ule mda mpaka leo nadhan znatosha kuandaa AFCON
 
Mwisho kuwasaidia mabigginer hakuna strategy sahihi kwenye forex.
Strategy sahihi ni ile ninayoweza kutengeneza kipato.
-Mfano mtu wa technical atakwambia inorder utrade forex Lazima uzingatie mtaji mkubwa(yupo sahihi sana)
Mm wa fundamental mtaji ,siyo kigezo nakuwa makini bcoz nilichokideposit nipo tayari kupoteza. Kwangu muhimu ni leverage
-Mtu wa technical atakwambia analysis from higher time frame to low
Ila sisi wa fundamental ,tunaanalysis what happen at current price bcoz news is inversely proportinal to previous information. So Hata time frame zetu ni tofaut na lower sana but maajabu tunapiga mishindo minene 🤓😀
Katika Mda machache

Mtu wa technical atakwambia Zingatia lot , mm nitakwambia Zingatia margin ,sisi mtaji kisoda lot tembo.
🤓🤓.
( Usisahau trade for your own risk)
## Usisahau usipo kuwa kwny asilimia (1%) moja lazima uhisi kuna mwamba anakuibia,kuna uchawi ,kuna utapeli
Fikiria Kati ya watu 100 mmoja tu.
Lazima uone ni kubeti

## Mabilionare wapo 2000 duniani Hamna mwajiriwa Kati yao.
 
akiwepo wewe pia bilionea alieajiriwa
 
Forex ipo katika mambo machache na marahisi ili ufanikiwe Lazima uije iyo siri ,Lazima ujifunze chat iwe rahisi kwako .
Believe my words waliofanikiwa kwenye hili game kuna namna wanaona chat usisahau.
Kama asilimia 99% wanafeli asilimia moja tu wanafaulu basi.
Wanaoferi Lazima wahisi ni kubeti ila binasfi yangu si beti. Nafanya kitu ninachokifahamu na nafanya hivyo kila niingiapo sokoni
Do it in the flip side...when you see Buy set up sell, when you see sell set up buy.....

Wisely go with the crowd 99% do not move alone 1%
 
Mwisho kuwasaidia mabigginer hakuna strategy sahihi kwenye forex.
Strategy sahihi ni ile ninayoweza kutengeneza kipato.
-Mfano mtu wa technical atakwambia inorder utrade forex Lazima uzingatie mtaji mkubwa(yupo sahihi sana)
Mm wa fundamental mtaji ,siyo kigezo nakuwa makini bcoz nilichokideposit nipo tayari kupoteza. Kwangu muhimu ni leverage
-Mtu wa technical atakwambia analysis from higher time frame to low
Ila sisi wa fundamental ,tunaanalysis what happen at current price bcoz news is inversely proportinal to previous information. So Hata time frame zetu ni tofaut na lower sana but maajabu tunapiga mishindo minene 🤓😀
Katika Mda machache

Mtu wa technical atakwambia Zingatia lot , mm nitakwambia Zingatia margin ,sisi mtaji kisoda lot tembo.
🤓🤓.
( Usisahau trade for your own risk)
## Usisahau usipo kuwa kwny asilimia (1%) moja lazima uhisi kuna mwamba anakuibia,kuna uchawi ,kuna utapeli
Fikiria Kati ya watu 100 mmoja tu.
Lazima uone ni kubeti

## Mabilionare wapo 2000 duniani Hamna mwajiriwa Kati yao.
TA is ahead of FA.... why. Because Fundamentals will only steam the market but not change its direction...

Example here we are moving upward until that black line is not valid...

Screenshot_20230928-183734.jpg
 
TA is ahead of FA.... why. Because Fundamentals will only steam the market but not change its direction...

Example here we are moving upward until that black line is not valid...

View attachment 2765196
FA ipo kwa ajiri ya kumalizia move,kuchange the general direction and Mda mwingine ku trigger order katika supply au demand iliyoachwa
 
TA is ahead of FA.... why. Because Fundamentals will only steam the market but not change its direction...

Example here we are moving upward until that black line is not valid...

View attachment 2765196
Wazee wa moving average na 200 Ema ,do not used it in fundamental trading.
Jifunze fundamental kwa matokeo ya tabia ya price wakati wa news .

Forex haiitaji mambo makubwa sana sijui ma indicator sijui ma A lot of lines and drawing

Hebu fikiria yule anayetoa dollar 50000 hadi 1000000 jiulize yeye anaangalia soko kama wewe?
Na kama tofauti je anangaliaje.
Moja wa role model wangu ni D ynamic operand yule mwamba kuna namna anaangalia soko tofauti na trader wengine.
Mfano angalia trading za gold anavozifanyaga
Utaelewa kuwa 1% siyo wale wanaona kama sisi ni wale walioamua kuangalia behind the screen
 
kama kawaida mzee wa pumba! kwa hotuba yote hio wewe ni master soko tuonyeshe trade history yako 😂
 
Wapo watu wanafanya forex na wanafaidika nayo.
Juzi jamaa yangu ametoa 2.5M
 
wengi wamevamia field kama huyo kijana haelewi hata kwann forex market ipo na lengo lake ni nn, ila anaweza kuaambia watu tunatengeneza mil 3 kila dakika, aya ukimwambia onyesha trading history huyo kaingia mitini
uKweli Forex ni saikologia baaaasi. Tatizo kubwa hapo emotions,expectafion,greed etc ndiyo zinafanya watu wapigwe sokoni. Ukiichukulia forex kama biashara ya duka,kwamba kuna siku unauza sana,kuna siku napata kidogo,kuna siku siuzi kabisa,kuna siku nitakuta bidhaa imeexpire inabidi niitupe,utafanikiwa. Tena utafika mbali. Tatizo vijana wanataka leo aweke usd100 wiki moja awe na usd 20,000 akanunue crown, aanze kupiga picha mahotelini ana cruise na marafiki,amebeba pombe za gharama etc. Hizo expectation lazima zikutoe manundu😂🤸‍♀️
 
Back
Top Bottom