kelvinvevo
Senior Member
- Sep 12, 2021
- 108
- 375
Sasa hao hawana utofauti na matapeli.. ila haimaanishi kila mtu anayejishughulisha na hilo swala ni tapeli.. hapana..mtu anakwambia ana 5 years of experience ukimwambia weka trade history anaingia mitini 😂 😂 ,lakini yupo mstari wa mbele kuita wanafunzi waje kujifunza kwa kuwaambia ni mil 1 kila dakika 3 😂😂, kila wiki mil 10 anakwambia