Curtiz
JF-Expert Member
- Oct 1, 2021
- 948
- 1,911
Mikeka inatumwa before au mana naona results tu ndio znatumwa...Hamia kwa Afisa ubashiri kama kuna Jamaa wa Telegram nawakubali sana sijui wakenya au Wabongo ila wamenisevu sana
![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mikeka inatumwa before au mana naona results tu ndio znatumwa...Hamia kwa Afisa ubashiri kama kuna Jamaa wa Telegram nawakubali sana sijui wakenya au Wabongo ila wamenisevu sana
![]()
Baada ya muda mrefu wa kukomaa na candlestick na video za YouTube rasmi nimejitoa kwenye biashara hii ya forex.
Lengo la uzi huu ni kuwakaribisha newbie kwenye hii biashara ya forex inayosadikika kuwa na utajiri mkubwa sana. Kama yupo yoyote ambae angependa kuanza biashara hii anichek niweze kushare nae important pdfs kuhusu forex na useful YouTube channels zenye material ya forex.
Mwisho kabisa nipende kuwatia moyo wote ambao n ndoto yenu kuprint pesa nyingi kupitia biashara hii kwamba forex is real na sio scam kama inavyosemekana uko mitaani.
Nawasalisha
Wako katika ujenzi wa taifa
Labia majora
Wewe ulijifunza just intro ukaweka pesa nyingi kwa mkupuo huna knowledge ya kutosha ukapigwa ume taja mt4 ukanionysha kuwa bado hfahamu hili swala kwa undani so Acha wanao fahamu wa trademm nko apa kukuprove hakuna mtu anafaidika na forex kwa mt4, na ukitaka naweza nkakuwekea mil 2 nkakwambia tafuta yoyote unaedhan anapiga ela nkupigie hesabu za trades zake kama haiji negative
Wewe ulijifunza just intro ukaweka pesa nyingi kwa mkupuo huna knowledge ya kutosha ukapigwa ume taja mt4 ukanionysha kuwa bado hfahamu hili swala kwa undani so Acha wanao fahamu wa trade
Wewe ni kama unatukana BOT wanaotoa leseni kwa mabroka na kama ulipigwa ni ww so just freeze..... inaonekana kuwa hukujifunza kuhusu hii biashara vizuri ulingia kwa kurupuka remember hakuna mafanikio ya haraka😂 😂 😂 amini amna unachojua kuhusu forex, kwa kuanza nkwambie tu forex market haipo na haiwezi kuwepo! There is nothing like forex market mlipigwa tu na mabroka biashara zao ziende ila kwa kua ulijiona mjuaji ukazama kwao 😂
Unaweza jifunza upya forex ina exists ila ni kwamba matapeli wamekuwa wengi ndo maana naona huamini kusuhu hwa broka kuna vigezo vya kumpata broka bora na wa uhakika achana na mabroka ambao hawaja kizi vigezo the fanya forex kama kazi ya msingi I've muda the jifunze kwa walio fanikiwa tena mtu unae weza kutana nae physical tumia muda mwingi kujifunza kuliko ku trade jifunze kutrade mwenyewe withdraw your profit and do it againWewe ni kama unatukana BOT wanaotoa leseni kwa mabroka na kama ulipigwa ni ww so just freeze..... inaonekana kuwa hukujifunza kuhusu hii biashara vizuri ulingia kwa kurupuka remember hakuna mafanikio ya haraka
Hapana chance ni 50/50 mkuu weng hawafanikiw wapo na common reason na wanaofaniiiwa wapo na common traitsResearch zinaonyesha ndani ya muda mrefu katika watu kumi ni wawili ndio wanatengeneza kwenye forex, una nafasi kubwa sana ya kupoteza hela kuliko kutengeneza hela.
Hapana chance ni 50/50 mkuu weng hawafanikiw wapo na common reason na wanaofaniiiwa wapo na common traits
www.ironfx.com
Wewe ni kama unatukana BOT wanaotoa leseni kwa mabroka na kama ulipigwa ni ww so just freeze..... inaonekana kuwa hukujifunza kuhusu hii biashara vizuri ulingia kwa kurupuka remember hakuna mafanikio ya haraka
Hapana chance ni 50/50 mkuu weng hawafanikiw wapo na common reason na wanaofaniiiwa wapo na common traits
NIMELIOMBA ROBOTI LIKUSAHIHISHE .FOREX sio soko ni process, FOREX it means FOREIGN EXCHANGE sio soko, leseni znatolewa kwa ajili ya FOREIGN EXCHANGE na sio FOREX MARKET, kuna tafauti ya izo vitu 2, mm nmekwambia forex market haipo na haiwezi kuwepo nkimaanisha mnaotumia MT4, MT5 kwa jina la forex, ule ni utapeli na ndo wanaoongoza kwa kua na maelezo mengi kuhusu forex ambayo sio ya kwel, forex haina uhusiano wowote na broker , so kama unaelezea forex kwa jicho la broker ushapotea
Embu nitajie ao wanaofanya forex yenyewe maana sijawai ona trader asietumia mt5 or mt4 au asietumia broker,we jamaa umekunywa maji ya broker, ungekua unafanya forex yenyewe unaweza kutoka kwa asilimia ndogo, ila kwa kutumia broka unapoteza mda
View: https://m.youtube.com/watch?v=w6JXZ3GzSCQ&pp=ygUkdGhlIGJpbGxpb24gZG9sbGFyIHNjYW0gZG9jdW1lbnRhcnkg
Worth watching, kama aionyeshi (hata kwa VPN) kabla ujakurupuka kwenye kukimbilia trading platform.
Kuna scammers wengi sana na wengine wamesajaliwa kama brokers (trading platforms) ambazo zinaonekana legit wengine walikuwa wana sponsor mpaka team za mpira premier league, La Liga (kabla ya kustukiwa) na wana influencers luluki ambao ni watu maarafu.
Wanachofanya matapeli una trade kwenye simulation platform ambazo wanazichezea wanakula na kipofu (unaweza pata kidogo) mwisho wa siku lazima upoteze hela yako yote.
Hawa watu wanaweza wafilisi wasomi nchi ambazo zina regulations kali na financial authorities za kusimamia mambo kama haya, polisi units na wataalamu waliobobea kwenye IT kupambana nao na wameshindwa kuwamaliza. Wakizuia platform moja leo, kesho inaibuka nyingine.
Forex hata ku-trade kwenye platform halali sio rahisi kutoboa mtu asikuongopee (ndio inawezekana kupata hela lakini ni wachache sana), jumlisha na hizo trading platforms za simulation zilizojaa ndio kabisa wazungu wenyewe wameshindwa kutokomeza hizo scams.
Ukiona mtu anakushawishi sana kushiriki na ni rahisi kutengeneza hela anakupa na platform ya kwenda ku-trade chances are unaenda tapeliwa hiyo hela yako.
Mfupa uliomshinda fisiHuwa nikiona kijana anapambana kwenye huu ujinga namuhurumia
Unahela ya kutapeliwa mzee izo usd 1k 2k ndo unasema umetapeliwa watu wanapoteza watu wanamake millions out of trading, kama hujui hujui si lazima wote tufanye trading, kama huna maamuzi trading hutoiweza binafsi nilifeli sana kwasababu nilikosa maamuz plan etc,
NIMELIOMBA ROBOTI LIKUSAHIHISHE .
FOREX sio soko bali ni mchakato: Hii ni sahihi kwa kiwango fulani kwani forex inamaanisha mchakato wa kubadilisha sarafu. Hata hivyo, soko la forex (FOREX MARKET) ni mahali ambapo mchakato huu unafanyika.
Leseni kwa ajili ya FOREX: Leseni hutolewa kwa taasisi zinazohusika na biashara ya kubadilisha sarafu, ikiwa ni pamoja na mabenki na madalali (brokers).
SOKO LA FOREX LIPO AU HALIPO?: Soko la forex lipo na linafanya kazi, lakini kuna vikwazo vingi na utapeli unaohusiana na matumizi ya majukwaa kama MT4 na MT5. Ni muhimu kufanya biashara na madalali waliodhibitiwa na mamlaka za kifedha zinazotambulika ili kuepuka utapeli.
Uhusiano wa FOREX na Brokers: Madalali (brokers) ni sehemu muhimu ya soko la forex kwani wanawezesha wafanyabiashara kupata masoko na kufanya biashara. Hata hivyo, sio madalali wote wanafanya kazi kwa uaminifu.
kwan wanaotrade KSH na TSH wanatumia broka gan?Embu nitajie ao wanaofanya forex yenyewe maana sijawai ona trader asietumia mt5 or mt4 au asietumia broker,