stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
Wala usiwaze watu wa aina yako ambao kwenu ubishi ni Imani nawajua , huna utofauti na wale wanao amini Dunia ipo Flat.
Ulivyo mjinga unaamini uwepo wa financial markets lakini huamini uwepo wa Forex Market , Ulivyo mjinga unaamini MT4/5 ni Forex Market badala ya kujua kwamba hizo ni platforms tu za kukurahisishia kuona mwenendo wa Stock katika soko la.dunia , Cryptocurrencies katika soko la dunia na Currencies katika soko la.Dunia , Ulivyo mjinga unaamini ukichukua milioni moja ya Kitanzania ukaanza kuibadilisha kwenda pesa za kigeni halafu ukairudisha kwenye TSH utapata milioni moja ileile [emoji1787].
Ulivyo mjinga unashindwa kutofautisha kati ya gambling na Trading
Una ujinga mwingi mkuu nashindwa kuu upinpoint wote
Inashangaza sana pale Corporate stock analyst anaefanya kazi bank anapingwa na stakehigh na Mwalimu wa Shule ya Sekondari Bunda vijini
Anyway isiwe kesi, ngoja tukupe mfano mrahisi sana alafu utajijua wewe ni ngombe 😂 😂 , dola moja saaahv ni 2600, mm nataka unipe tu mathematical calculation mpaka hio 2600 imepatikana, ukishondwa apo basii uelewe wewe forex huielewi wewe ni wale wale broka wanaofurahia uwepo wenu
- au tuseme dola ni mbal, kwakua umesema ni stock sio mbaya tukudhalilishe umo umo:
mm nataka tu mathematical formular ya kupata share 1 ya CRDB ni 510, ukishindwa basi tuliza komwe hamna unachojua dunia hii