Rasmi sasa nimejiondoa katika biashara ya foreign exchange (forex)

Wala usiwaze watu wa aina yako ambao kwenu ubishi ni Imani nawajua , huna utofauti na wale wanao amini Dunia ipo Flat.
Ulivyo mjinga unaamini uwepo wa financial markets lakini huamini uwepo wa Forex Market , Ulivyo mjinga unaamini MT4/5 ni Forex Market badala ya kujua kwamba hizo ni platforms tu za kukurahisishia kuona mwenendo wa Stock katika soko la.dunia , Cryptocurrencies katika soko la dunia na Currencies katika soko la.Dunia , Ulivyo mjinga unaamini ukichukua milioni moja ya Kitanzania ukaanza kuibadilisha kwenda pesa za kigeni halafu ukairudisha kwenye TSH utapata milioni moja ileile [emoji1787].

Ulivyo mjinga unashindwa kutofautisha kati ya gambling na Trading
Una ujinga mwingi mkuu nashindwa kuu upinpoint wote
Inashangaza sana pale Corporate stock analyst anaefanya kazi bank anapingwa na stakehigh na Mwalimu wa Shule ya Sekondari Bunda vijini
Anyway isiwe kesi, ngoja tukupe mfano mrahisi sana alafu utajijua wewe ni ngombe 😂 😂 , dola moja saaahv ni 2600, mm nataka unipe tu mathematical calculation mpaka hio 2600 imepatikana, ukishondwa apo basii uelewe wewe forex huielewi wewe ni wale wale broka wanaofurahia uwepo wenu

- au tuseme dola ni mbal, kwakua umesema ni stock sio mbaya tukudhalilishe umo umo:
1717265236340.png

mm nataka tu mathematical formular ya kupata share 1 ya CRDB ni 510, ukishindwa basi tuliza komwe hamna unachojua dunia hii
 
amna kitu kibovu kama kua mjinga alafu uko confident, vp na google apa ni wajinga?
View attachment 3006149
Forex trading sio betting ni speculating if you know what you are doing your decision should be based ‘calculated risk’ given the variables ambazo zinapandisha na kushusha thamani ya fedha.

Naanda majibu ya hoja żako you are all over the place, uelewa wako wa Forex ni very limited.
 
Forex trading sio betting ni speculating (taking calculated risk) given the variables ambazo zinapandisha na kushusha thamani ya fedha.

Naanda majibu ya hoja żako you are all over the place, kwenye uelewa wa Forex.
😂 😂 sasa kama ata huelewi retail forex ni betting tunakusaidia vp sheikh? akna forex trading inafanyika kwa broka mbna vichwa vigumu kuelewa, pale ni anachukua alieloose amna aliewin kama sport pesa
 
Naanda darasa lako subiri kama nilivyokwambia awali forex is complicated and not as easy as you put things.
 
Forex trading sio betting ni speculating if you know what you are doing your decision should be based ‘calculated risk’ given the variables ambazo zinapandisha na kushusha thamani ya fedha.

Naanda majibu ya hoja żako you are all over the place, uelewa wako wa Forex ni very limited.
Huyu jamaa kumwelesha inahitajika nguvu ya ziada sana.
 
sasa mpaka nmekuekea si ina maaana wewe ulitakiwa kwenda kusoma ama?
Babypips hio website nilitumia miaka ya 2013 huko , kipindi hicho ndio naanza Freelancing , Nimetumia hio web sana kwenye Research zangu za masoko ya hisa na sarafu , Wewe ndio unaitumia sasa hivi??
 
hio ni summary kwako, jibu swali nlilokuuliza before kama umeshindwa basi izi kelele achana nazo
 
Kuna mwana anakula Maisha sanaa kazi yake ni Forex tu sasa sijui ni kweli au kuna ishu zingine behind the scene..
 
Babypips hio website nilitumia miaka ya 2013 huko , kipindi hicho ndio naanza Freelancing , Nimetumia hio web sana kwenye Research zangu za masoko ya hisa na sarafu , Wewe ndio unaitumia sasa hivi??
vp swali nlilokuuliza gumu sana? 😂 😂 ! si unaona sasa hio forex bado hujui
 
vp swali nlilokuuliza gumu sana? [emoji23] [emoji23] ! si unaona sasa hio forex bado hujui
Wewe ndio hujui hata maana ya Forex market ni nini umekuja kuijua hapa juzi wakati huo, watoto wa town tushazamia kitambo kwa Madiba kuijua vizuri.
Enzi hizo nikiwa A level shule flani Maeneo ya ITV nilikutana na jamaa yangu mmoja kutoka Moro amesomea uchumi huyu jamaa alinifanya niipende Economics kwa namna alivyokuwa akiichambua mpaka kujilaumu kwanini nilikuwa Sayansi, Kwanzia hapo kwangu kusoma vitabu vya Economics ikawa hobby, Huyu jamaa sasa hivi yupo kwenye moja ya Corporate firm kubwa Malaysia jana nimempa link apitie pitie ulichoandika na amesikitika , Good news ni kwamba kaahidi atashusha shule hapa ngoja tumsubiri kama Mayor Quimby hatomuwahi.
 
Alisema hataki tena majibu nikaona nimuache maana liposti lenyewe la kumjibu lingekuwa refu.

Anyway for the sake of discussion nitaweka nikipata muda apate elimu maana uelewa wake wa forex ni mdogo sana.
 
Mpe na yeye ilo swali alafu mjione mlivo vilaza kwenye uchumi, muulize tu kiroho saf ili crdb share moja iuzwe tsh 500, imecalculatiwa vp mathemetically swali rahisi wala sjaenda sehem ngumu, na pia ata asihangaike kuleta shule maaana ni kilaza pia kama hajui haya mahesabu, yaani kwa lugha nyepesi nyie hamuelewi kinachoendelea duniani
 
tatizo mnapenda michambo sana, forex haipo ivo mnavodhania, ili uweze kuelezea finance nzima ya dunia hii unatakiwa ujue very complex functionality, kila mtu anajikuta theorotical maisha hayapo ivo, leo hii tukikwambia mauzo ya hisa za crdb haya apa utaweza kupitia na kuconfirm bei ya 530 sio ya kuchakachua? obvious hutaweza maaana huelewi ata price imecalculatiwa vp, lakini ndo kila sku mnataka kutoa ushauri wa uchumi hahaha vijana bana
 
We baki kwenye forex (walau ni speculative industry), huko kwenye mambo hisa kanuni zake za ku-trade (information required) ni tofauti kabisa na forex.
 
Afu ni mtanzania sasa watu wanahela kwa iyo mt5
 
Attachments

  • Screenshot_20240602-130451_Instagram.jpg
    Screenshot_20240602-130451_Instagram.jpg
    449.3 KB · Views: 8
Mpe na yeye ilo swali alafu mjione mlivo vilaza kwenye uchumi, muulize tu kiroho saf ili crdb share moja iuzwe tsh 500, imecalculatiwa vp mathemetically swali rahisi wala sjaenda sehem ngumu, na pia ata asihangaike kuleta shule maaana ni kilaza pia kama hajui haya mahesabu, yaani kwa lugha nyepesi nyie hamuelewi kinachoendelea duniani
Ushatoka kwenye Forex Market umehamia kwenye hisa , Mdogo wangu una matatizo.
 
We baki kwenye forex (walau ni speculative industry), huko kwenye mambo hisa kanuni zake za ku-trade (information required) ni tofauti kabisa na forex.
Tatizo lenu vijana mkishajua kugoogle basi kila kitu mnajua maisha hayapo ivo, na taarifa sahihi hua hazitolewi kwa wote, mwisho wa sku duniani lazima kue na fala mmoja na mfanya biashara mmoja ili dunia iende, kila mtu akiju ukwel pesa haizunguki
 
Ushatoka kwenye Forex Market umehamia kwenye hisa , Mdogo wangu una matatizo.
si wewe ndo ulikua unasema ni mzee wa stocks na nmekupa swali rahisi ila mpaka sasa unatapa tapa badala ya kujibu swali 😂 😂 😂 , we unadhan kila mtu wa kulisha izo pumba zenu, swali rahisi ila mpaka sasa hata kjaribu umeshindwa sasa ningekuuliza kuhusu ex chequers si ndo ungekua unalia apa, vijana mkishajua kugoogle mnasumbuana sana, just elewa amna unachojua kuhusu forex na content zote na mifano unatoa ni pumba zile zile mabroka wanawalisha wakati wenyewe hata hawadeal na forex, pumba za forex market peleka ukooo
 
Back
Top Bottom