Rasmi sasa nimejiondoa katika biashara ya foreign exchange (forex)

Kwahiyo unataka kutupiga na sisi hela zetu ili urudishe helazako ulizo poteza sio
 
I trade forex for a living.. Jamaa anasema forex ni betting, nataka niulize je amewahi ata kuplace trade moja?

cha kwanza hakuna anaishi kwa forex pili ukiona bado huelewi kwann forex sio betting basi huelewi forex ni nn, largely uliingia kwa sababu ulilipa mentor akakufundisha utumbo ule ule, no wonder mnafanya the same same shit but mnategemea different results, yaaani kila mtu anataka kuchora mistari kwenye chart ila awe tajiri zaidi ya mwenzake, upuuzi wa mwisho
 
Baada ya muda mrefu wa kukomaa na candlestick na video za YouTube rasmi nimejitoa kwenye biashara hii ya forex.

Lengo la uzi huu ni kuwakaribisha newbie kwenye hii biashara ya forex inayosadikika kuwa na utajiri mkubwa sana. Kama yupo yoyote ambae angependa kuanza biashara hii anichek niweze kushare nae important pdfs kuhusu forex na useful YouTube channels zenye material ya forex.

Mwisho kabisa nipende kuwatia moyo wote ambao n ndoto yenu kuprint pesa nyingi kupitia biashara hii kwamba forex is real na sio scam kama inavyosemekana uko mitaani.

Nawasalisha
Wako katika ujenzi wa taifa
Labia majora
Kazi kweoi
 
mkuu uko traumatized share your story watu wajifunze ,una kila dalili ya kufanywa mbaya na Forex, ulitrade Ada nini??
Sasa mwanagu nmekwambia nlikua Ex chequer kwenye desk pale BOT unataka story gan tena? mm nlikua nakuelezea forex yenyewe ikoje, anything apart from that sio forex ni gambling
 
umeweka mtazamo wazi watu wameuona waache watu wacheze kamari , hela ni za kwao kama hawafaidiki wataacha hio sio biashara yako.
As far as i know wapo full time traders, uwaambie wanatrade au wanagamble ili mradi wanapata faida watakuona kichaa tu uliekosa exposure.
NB:If something doesn't work for you, it doesn't necessarily mean it doesn't work for everyone.
 
😂😂 yaaani central banks zenyewe hazitengenezi faida na unawaza kuna kuku anaesoma charts anapata faida, sometimes mnajitengenezea pombe mnakunywa 😂, wanaotengeneza faida ni machines tu na hawasomi charts
 
umeweka mtazamo wazi watu wameuona waache watu wacheze kamari , hela ni za kwao kama hawafaidiki wataacha hio sio biashara yako.
As far as i know wapo full time traders, uwaambie wanatrade au wanagamble ili mradi wanapata faida watakuona kichaa tu uliekosa exposure.
NB:If something doesn't work for you, it doesn't necessarily mean it doesn't work for everyone.
acha kuhangaika we forex bado mweupe, yaani ata hint huna! na pia unaongea sana ilihalihata basics kabisa huna, nmekuuliza price za currency znatumia mathematical formular gan kupatikana umebaki unajitetea sana, 😂 😂 😂 the most basic of the basic questions ukaniangusha 😂, ingekuuliza kuhusu calculations za bid, spread ama ask price? 😂 au ningekuuliza price depth? si ushukuru nmekuuliza swali basic price ya EURUSD inatumia mathematical formular gan, ama ndugu yako kashindwa kukusaidia?
 
Hayo uliyo yaandika hapo hayasaidii kitu.. As long as mtu ka master fundamental na technical analysis +psychology. Inatosha.. Kuna principles chache tu ambazo ulikua huzijua thats why unasema hamna forex trading

Siku shangai kwasababu wengi walio enda kichwa kichwa forex iliwakwangua jipige kifua you are not alone😂

Pia naonekana unajua vitu vingi lkn hivo ni just economics tu uliyosoma, hio elimu yako ya calculations sjui currency na blah blah sjui BOT haisaidii kitu kwenye trading. Still market will rape u 😂😂

Kama unaweza naweka email yangu hapa nikuoneshe namna gani tuna print hela.. Nataka kwenda live trading na wewe tu uone. Tutafanya kupitia zoom tena kwenye live account yangu.. Uko tiar?

Si hitaji shilling mia yako..
 
you dont need ata kufanya all those and i have said this over and over again, ukifungua akaunti kwa broker ya mt4 unapewa kitu kinaitwa ACCOUNT_ID ama just ID, nipe tu hio then ntakusaidia kukuwekea trading history yako apa, na sio hio tu i said again yoyote anaedhan anaishi kwa forex trading ntakupa USDT 800, now kazi kwako! na ukiona vp unaweza jiunga na wenzako wote mkaunganisha trading history zenu kama bonus nmekupa

- kingine izo saikology, fundamental, tekiniko, sentimental usiishi kama unazijua peke yako, yaaani unafanya the same shit everyone else is doing but unataka wewe ndo upate different results, dont you see kuna sehem nati zmelegea kichwan?

- markets hazifuati any anlysis mnafanya, its no suprise a support level is broken and you make a loss, its because no big trader does your shit mnaforce kitu hamkielewi, if everyone was to follow your shit then the global market would have been dead mda mrrefu sana,
 
Back
Top Bottom