Escotter20
JF-Expert Member
- Jul 20, 2020
- 505
- 960
I trade forex for a living.. Jamaa anasema forex ni betting, nataka niulize je amewahi ata kuplace trade moja?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I trade forex for a living.. Jamaa anasema forex ni betting, nataka niulize je amewahi ata kuplace trade moja?
Kazi kweoiBaada ya muda mrefu wa kukomaa na candlestick na video za YouTube rasmi nimejitoa kwenye biashara hii ya forex.
Lengo la uzi huu ni kuwakaribisha newbie kwenye hii biashara ya forex inayosadikika kuwa na utajiri mkubwa sana. Kama yupo yoyote ambae angependa kuanza biashara hii anichek niweze kushare nae important pdfs kuhusu forex na useful YouTube channels zenye material ya forex.
Mwisho kabisa nipende kuwatia moyo wote ambao n ndoto yenu kuprint pesa nyingi kupitia biashara hii kwamba forex is real na sio scam kama inavyosemekana uko mitaani.
Nawasalisha
Wako katika ujenzi wa taifa
Labia majora
Mizigo ipiWewe bado lots zako ni ndogo sana, mimi nasukuma mizigo mizito
Najua mpk sasa una experience ya kutosha since 2017Bahati mbaya, Sina huo muda.
Kwa sasa nafanyia optimization my trading tools.
View attachment 3007913
Uko sahihi:Najua mpk sasa una experience ya kutosha since 2017
Ref (May 26th, 2017): Post #3 hapa: Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!
sio kuplace tu order ukitaka ata nkutengenezee trading platform wewe tu,I trade forex for a living.. Jamaa anasema forex ni betting, nataka niulize je amewahi ata kuplace trade moja?
mkuu uko traumatized share your story watu wajifunze ,una kila dalili ya kufanywa mbaya na Forex, ulitrade Ada nini??sio kuplace tu order ukitaka ata nkutengenezee trading platform wewe tu,
Sasa mwanagu nmekwambia nlikua Ex chequer kwenye desk pale BOT unataka story gan tena? mm nlikua nakuelezea forex yenyewe ikoje, anything apart from that sio forex ni gamblingmkuu uko traumatized share your story watu wajifunze ,una kila dalili ya kufanywa mbaya na Forex, ulitrade Ada nini??
umeweka mtazamo wazi watu wameuona waache watu wacheze kamari , hela ni za kwao kama hawafaidiki wataacha hio sio biashara yako.Sasa mwanagu nmekwambia nlikua Ex chequer kwenye desk pale BOT unataka story gan tena? mm nlikua nakuelezea forex yenyewe ikoje, anything apart from that sio forex ni gambling
😂😂 yaaani central banks zenyewe hazitengenezi faida na unawaza kuna kuku anaesoma charts anapata faida, sometimes mnajitengenezea pombe mnakunywa 😂, wanaotengeneza faida ni machines tu na hawasomi chartsumeweka mtazamo wazi watu wameuona waache watu wacheze kamari , hela ni za kwao kama hawafaidiki wataacha hio sio biashara yako.
As far as i know wapo full time traders, uwaambie wanatrade au wanagamble ili mradi wanapata faida watakuona kichaa tu uliekosa exposure.
NB:If something doesn't work for you, it doesn't necessarily mean it doesn't work for everyone.
acha kuhangaika we forex bado mweupe, yaani ata hint huna! na pia unaongea sana ilihalihata basics kabisa huna, nmekuuliza price za currency znatumia mathematical formular gan kupatikana umebaki unajitetea sana, 😂 😂 😂 the most basic of the basic questions ukaniangusha 😂, ingekuuliza kuhusu calculations za bid, spread ama ask price? 😂 au ningekuuliza price depth? si ushukuru nmekuuliza swali basic price ya EURUSD inatumia mathematical formular gan, ama ndugu yako kashindwa kukusaidia?umeweka mtazamo wazi watu wameuona waache watu wacheze kamari , hela ni za kwao kama hawafaidiki wataacha hio sio biashara yako.
As far as i know wapo full time traders, uwaambie wanatrade au wanagamble ili mradi wanapata faida watakuona kichaa tu uliekosa exposure.
NB:If something doesn't work for you, it doesn't necessarily mean it doesn't work for everyone.
Mjomba una capital ya 50k+ naona apo ktk profit
HahahPole na hongera kwa kuacha
Ila ndio ujiite labia majora mkuu?[emoji38]
Hayo uliyo yaandika hapo hayasaidii kitu.. As long as mtu ka master fundamental na technical analysis +psychology. Inatosha.. Kuna principles chache tu ambazo ulikua huzijua thats why unasema hamna forex tradingacha kuhangaika we forex bado mweupe, yaani ata hint huna! na pia unaongea sana ilihalihata basics kabisa huna, nmekuuliza price za currency znatumia mathematical formular gan kupatikana umebaki unajitetea sana, 😂 😂 😂 the most basic of the basic questions ukaniangusha 😂, ingekuuliza kuhusu calculations za bid, spread ama ask price? 😂 au ningekuuliza price depth? si ushukuru nmekuuliza swali basic price ya EURUSD inatumia mathematical formular gan, ama ndugu yako kashindwa kukusaidia?
Hayo uliyo yaandika hapo hayasaidii kitu.. As long as mtu ka master fundamental na technical analysis +psychology. Inatosha.. Kuna principles chache tu ambazo ulikua huzijua thats why unasema hamna forex trading
Siku shangai kwasababu wengi walio enda kichwa kichwa forex iliwakwangua jipige kifua you are not alone😂
Pia naonekana unajua vitu vingi lkn hivo ni just economics tu uliyosoma, hio elimu yako ya calculations sjui currency na blah blah sjui BOT haisaidii kitu kwenye trading. Still market will rape u 😂😂
Kama unaweza naweka email yangu hapa nikuoneshe namna gani tuna print hela.. Nataka kwenda live trading na wewe tu uone. Tutafanya kupitia zoom tena kwenye live account yangu.. Uko tiar?
Si hitaji shilling mia yako..
ushawahi kujiuliza kwann mpaka leo hakuna tajiri wa mt4/5?Nigeria wanapambana sana na trading vijana wamejizatit kweli kweli