Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NAKAZIAHusitukane Mamba wakati bado hujavuka mto
Yanga na kuibeza simba kwa kuiita Mwakarobo, sasa wao nao waianza safari ya Mwakarobo baada ya kuishia Robo Fainali.
Wamekufa kiume😁😁😁Kwani tumetoka?
Mimi siamini jamani...!🥺
Ndo imetoka hiyooo.Kwani tumetoka?
Mimi siamini jamani...![emoji3064]
Hivi mbumbumbu mlikuwa na mechi Jana au amkuwa na mechi? Mbona inaonekana yanga ndio alikuwa na mechi maana akili na nguvu zenu zote mnaiongelea yanga? Nyie si ndiyo mmepigwa nje ndani? Goli 3 Safi bila majibu? Mnaisema yanga wakati wenzenu wanamove on na progress unaiona vipi kwa upande wenu mna jipya lipi na timu yenu iyo ya kuungaunga? Yanga kacheza na giant akiwa kamili na kikosi chake chote but kapewa mechi ngumu na kina mkude mpaka kukimbilia polisi kudhulumu goli halali!!! Vipi angekuwepo pacome, yao yao, aucho? Akili zenu ni ndogo ndio maana mangungu ataendelea kuwaongoza mpaka kiama!Usitukane Mamba wakati bado hujavuka mto.
Yanga na kuibeza simba kwa kuiita Mwakarobo, sasa wao nao waianza safari ya Mwakarobo baada ya kuishia Robo Fainali.
Karibuni mwakalobo aka 'Kufa kiume FC'Hivi mbumbumbu mlikuwa na mechi Jana au amkuwa na mechi? Mbona inaonekana yanga ndio alikuwa na mechi maana akili na nguvu zenu zote mnaiongelea yanga? Nyie si ndiyo mmepigwa nje ndani? Goli 3 Safi bila majibu? Mnaisema yanga wakati wenzenu wanamove on na progress unaiona vipi kwa upande wenu mna jipya lipi na timu yenu iyo ya kuungaunga? Yanga kacheza na giant akiwa kamili na kikosi chake chote but kapewa mechi ngumu na kina mkude mpaka kukimbilia polisi kudhulumu goli halali!!! Vipi angekuwepo pacome, yao yao, aucho? Akili zenu ni ndogo ndio maana mangungu ataendelea kuwaongoza mpaka kiama!
Kura unawapaga wewe kwani?kura si wanachukua ..wanaweka..waaahMamaaaaae zao, dhambi ya Usaliti itawatafuna maisha yao yote. Wameisaliti sana Simba hadi hao Orlando Pirate wameweka wazi kwamba wakiwa Tanzania Utopolo waliwapa sapoti zote.
Hii ni Karma kwa kumuuza ndugu yake kwa Adui.
Waendelee kutumia pesa za kodi yetu kipuuuzi tu na kura 2025 hatuwapi.
MpoKwani tumetoka?
Mimi siamini jamani...!🥺