Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Inatafutwa hela ya uchaguzi kaka, mfano zile piki piki za umeme zimeingia nyingi sana lazima waruke nazo. Soon tutafika MC 001 FAAKichaka cha mapato au upuuzi tu. Kama appliances zinasajiliwa tuanze kusajili mafeni, tv, subwoofer, laptop, washing machine.
Hizo pikipiki na magari lengo ni kupunguza gharama sio viwe kichaka cha dhuluma. Umeme unalipwa na makodi kibao extra. Vikitumia umeme ndio namna vitaingiza mapato.