Rasmi serikali yaruhusu na kuzindua matumizi ya magari ya umeme Tanzania

Rasmi serikali yaruhusu na kuzindua matumizi ya magari ya umeme Tanzania

Gari la hybrid betri yake tu niliwahi sikia bei milioni 10. Hiyo ni betri tu.

Wazungu wafanye wafanyavyo, mafuta ndio suluhisho ya yote.

Waarabu wabarikiwe sana, kama ni njama zao wazungu kuwaumiza waarabu wamegonga mwamba.

Tunaomba tu mafuta yashuke bei, atleast 2000 per litre
Waarabu wamegunda gem inabadilika na wao pia wameanza kubadilika kitambo ndio maana wapo kwenye ma real estate na bandari kama kina DP world 2050 2080 mafuta yatakuwa ni takataka chukua hiyo.

Wameshajua mzungu ni ma.vi
 
Kwenye ugumu sikati lakini vifaa gharama mno tena unaagiza nche ya bara😁😁😁😁.

Fuel ndo kilakitu.
Mkuu gharama ambayo itakuja 10 years ahead haiwezi kuwa sawa na gharama ya leo! To me kwa kitu ambacho ni liability kama gari kadri linavyozeeka ndio linakuwa vulnerable kwa maintanance na gharama zinakuwa chini maana wengi wanakuwa washanyanunua na spare zake ni nyingi.

Na trend ya bongo ya kuigana, akianza mmoja kuleta EV mfano kale ka Hyundai Ioniq kalivyo katamu utashangaa baada ya miaka miwili zimejazana kibao mjini. Ni mtu tu ajaanzisha trend ila hakuna mtu ataagiza gari la mafuta akishaonja utamu wa gari lisiloenda sheli.
 
Acha uwoga. Mbona mnaogopa ivo? Kilichofanyika ni kutoa engine na gearbox na kuweka battery na motors basi.
Betri Og linaaround 50milion. Bora hybrid.
Screenshot_20240531-142723.png
 
Mkuu gharama ambayo itakuja 10 years ahead haiwezi kuwa sawa na gharama ya leo! To me kwa kitu ambacho ni liability kama gari kadri linavyozeeka ndio linakuwa vulnerable kwa maintanance na gharama zinakuwa chini maana wengi wanakuwa washanyanunua na spare zake ni nyingi.

Na trend ya bongo ya kuigana, akianza mmoja kuleta EV mfano kale ka Hyundai Ioniq kalivyo katamu utashangaa baada ya miaka miwili zimejazana kibao mjini. Ni mtu tu ajaanzisha trend ila hakuna mtu ataagiza gari la mafuta akishaonja utamu wa gari lisiloenda sheli.
👏👏👏kongra.
 
huo ujinga wa kuambiwa mmezindua matumizi ya gari.

Mnazindua as if mmezibuni nyinyi, mmekuwa Apple sasa mnazindua Iphone 18 !

Serikali imeruhusu gari za umeme. Kwani zilikuwa marufuku ?

Kwa hiyo, upeo wa viongozi wetu na upeo wa waandishi wetu wanaolishwa ugoro huu wa habari na kuja kuutapika kwenye society kama walivyoumeza, upeo wao wote haumzidi sana illiterate wa darasa la saba.
 
Back
Top Bottom