Rasmi serikali yaruhusu na kuzindua matumizi ya magari ya umeme Tanzania

Rasmi serikali yaruhusu na kuzindua matumizi ya magari ya umeme Tanzania

Duh ushuru wake ni 20M kwa mujibu wa TRA ama?
Kula chuma iyo Model 3 ya 2020.

Screenshot_20240531-143627.png
 
Kwani ni lini utabadirisha battery? Ni kama kwenue gari za ICE ni mara ngapi unabadirisha engine?

Ata ivyo izo gari EV battery inadumu kinoma, sio kama ya simu.

View attachment 3004723

Na kwenye hybrid, cheki basi bei ya Battery OG mpya ya Prius au Aqua.
Hizo Miles ni zaidi ya kilometa laki 6. Mi naona kununua EV au Plugin Hybrid will be the best bang for the buck kwa maisha yetu haya.
 
Hybrid betri inacost 5-20milio new Og!
Tena Hybrid battery ndio rahisi. Ikiharibika haifi yote, zinakufa cell (packs) kadhaa. Ambazo unaweza kubadirisha na ikawa fresha kabisa.

Mr DIY mzee wa Prius aliwahi nipa somo flani likawa la msaada sana.

Jamesdominic unaonekana muoga. Mzee maisha kujilipua. Mi ningekua na hela ningekua sample wengine mjifunze kwangu 😂😂
 
Hahaha! Kama kujilipua ni Hybrid tu!.
Tena Hybrid battery ndio rahisi. Ikiharibika haifi yote, zinakufa cell (packs) kadhaa. Ambazo unaweza kubadirisha na ikawa fresha kabisa.

Mr DIY mzee wa Prius aliwahi nipa somo flani likawa la msaada sana.

Jamesdominic unaonekana muoga. Mzee maisha kujilipua. Mi ningekua na hela ningekua sample wengine mjifunze kwangu 😂😂
 
Kama kweli wana nia ya kuona Watanzania wakitumia nishati salama wafanye kama Mauritius: kuingiza magari ya umeme iwe 100% duty-free kwa muda wa mwaka. Waone jinsi magari ya umeme yatakavyomiminika pamoja na vituo vya kuchajia.
Yes. Angalau waweke ata mwaka mmoja wa sample. Labda wakasema kuanzia 2025 July hadi 2026 June. Waone namba zitasemaje.
 
Maskini Tulia wenye pesa watanunua
Ndo shida ya uchawa hii, kuna wakati unajisahau unajiona uko juuu, sasa kumtamkia mtu eti maskini tulia wenye pesa watanunua. Alaf mtu kama huyu ndo aje kuwa kiongozi kha.. Busara negative 100. Acha dhihaka bhana..
 
Back
Top Bottom