Rasmi: Watanganyika waanza kunyimwa huduma za Afya Zanzibar

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Wazanzibar wanadai Bajeti yao ya afya ni ndogo, inawatosha wao tu..

Hivyo kama wewe ni Mtanganyika, ili utibiwe unatakiwa upate barua kadhaa za Masheha.

Kumbuka bado wanaendelea kupokeac kodi ya Watanganyika wanaofanya kazi Zanzibar.

Hata kama umepata ajali, kabla ya kukimbizwa Hospitali, unatakiiwa Upelekwe kwa Sheha kwanza

MY TAKE
Kabla mwaka haujaisha tutasikia Watanganyika wasisome Zanzibari, wasitumie Boti na barabara pia.. Ndiko twaelekea

Kipindi cha nyuma tulianza kunyimwa hoteli. Unaambiwa vyumba vimejaa hadi uwe na kilemba. Tukifika Zanzibar tukawa tunavaa kama Waislam ili tupate huduma.
 
Wazanzibar wanadai Bajeti yao ya afya ni ndogo, inawatosha wao tu..

Hivyo kama wewe ni Mtanganyika, ili utibiwe unatakiwa upate barua kadhaa za Masheha.

Hata kama umepata ajali, kabla ya kukimbizwa Hospitali, unatakiiwa Upelekwe kwa Sheha kwanza
View attachment 3611142
Watu wafate Sheria, mbona hilo liko wazi, kuliko kuendelea kulalamika.

Hospitali Zanzibar ni nyingi.

Mtu ana watoto watano, amekwambia bajeti yangu ya kuwatunza ni laki tano kwa mwaka, wewe kuleta wako anakwambia haitoshi unalalamika.

Solution:
Tanganyika iongeze bajeti ya wizara ya afya Zanzibar ili watu wote wapate huduma toshelevu.
 
Kokubwa ni kujua kodi za wabara wanazichukua au hawazichukui?ili pia wapate uhalali wa kuwazuia kuwatibu
 
Ajenda iko clear, Zanzibar wanataka kuwa nchi ya kiislam na only way kufanikisha hilo ni kujitenga na Tanganyika kwanza
Acha kuwa mdin, chuki zako weka pembeni.

Hoja zao sio dini, hata waislamu wa bara tunapata changamoto hiyo hiyo huko Zanzibar.

Ishu ya msingi Muungano hawautaki kama sisi huku bara tusivyoutaka huo Muungano.
 
Wazanzibar wanadai Bajeti yao ya afya ni ndogo, inawatosha wao tu..

Hivyo kama wewe ni Mtanganyika, ili utibiwe unatakiwa upate barua kadhaa za Masheha.

Hata kama umepata ajali, kabla ya kukimbizwa Hospitali, unatakiiwa Upelekwe kwa Sheha kwanza
View attachment 3611142
Hivyo kama wewe ni Mtanganyika, ili utibiwe unatakiwa upate barua kadhaa za Masheha.

Hata kama umepata ajali, kabla ya kukimbizwa Hospitali, unatakiiwa Upelekwe kwa Sheha kwanza🥺🥺🥺
 
Back
Top Bottom