Rasmi: Watanganyika waanza kunyimwa huduma za Afya Zanzibar

Wazanzibar wanadai Bajeti yao ya afya ni ndogo, inawatosha wao tu..

Hivyo kama wewe ni Mtanganyika, ili utibiwe unatakiwa upate barua kadhaa za Masheha.

Kumbuka bado wanaendelea kupokeac kodi ya Watanganyika wanaofanya kazi Zanzibar.

Hata kama umepata ajali, kabla ya kukimbizwa Hospitali, unatakiiwa Upelekwe kwa Sheha kwanza

MY TAKE
Kabla mwaka haujaisha tutasikia Watanganyika wasisome Wazanzibari, wasitumie Boti na barabara pia.. Ndiko twaelekea

Kipindi cha nyuma tulianza kunyimwa hoteli. Unaambiwa vyumba vimejaa hadi uwe na kilemba. Tukifika Zanzibar tukawa tunavaa kama Waislam ili tupate huduma.
View attachment 3611142
Aisee
 
Ila viongozi wetu wa chama pendwa wanatuaminisha hamna ubaguzi dhidi Wabara. Ya kwamba, wanaobaguliwa Zanziba ni wageni toka Komoro na Shelisheli. Hii nayo inachangnya sasa.

Ila viongozi wetu wa juu wa chama pendwa wanatuaminisha kuwa wanaobaguliwa sio Wabara bali ni wageni toka visiwa vya Shelisheli na Komoro. hii nayo sijui imekaa vipi?
 
Unajivunia ubaguzi? Kwanini ubague mtu.. Yaani nyie Wazanzibari hamnazo
 
Wazanzibar wanadai Bajeti yao ya afya ni ndogo, inawatosha wao tu..

Hivyo kama wewe ni Mtanganyika, ili utibiwe unatakiwa upate barua kadhaa za Masheha.

Kumbuka bado wanaendelea kupokeac kodi ya Watanganyika wanaofanya kazi Zanzibar.

Hata kama umepata ajali, kabla ya kukimbizwa Hospitali, unatakiiwa Upelekwe kwa Sheha kwanza

MY TAKE
Kabla mwaka haujaisha tutasikia Watanganyika wasisome Wazanzibari, wasitumie Boti na barabara pia.. Ndiko twaelekea

Kipindi cha nyuma tulianza kunyimwa hoteli. Unaambiwa vyumba vimejaa hadi uwe na kilemba. Tukifika Zanzibar tukawa tunavaa kama Waislam ili tupate huduma.
View attachment 3611142
Tafuta kitambulisho vinginevyo utapata tabu sana na hakuna mwanasiasa wa kukusaidia hapa Wana push ajenda zao tuu
 
Kwani Sheria zinasemaje?...mwenye Sheria zinazohusu Haya mambo alete jukwaani hasa kuhusu haya Mambo ya afya Kwa Sisi Tanzania bara...
 
Tafuta kitambulisho vinginevyo utapata tabu sana na hakuna mwanasiasa wa kukusaidia hapa Wana push ajenda zao tuu
Cheti za kuzaliwa cha zanzibar unakipataje ilihali umezaliwa bara ili uwe bima ya afya ya zanzibar unatakiwa uwe na cheti cha kuzaliwa cha zanzibar
 
Wazanzibar wanadai Bajeti yao ya afya ni ndogo, inawatosha wao tu..

Hivyo kama wewe ni Mtanganyika, ili utibiwe unatakiwa upate barua kadhaa za Masheha.

Kumbuka bado wanaendelea kupokeac kodi ya Watanganyika wanaofanya kazi Zanzibar.

Hata kama umepata ajali, kabla ya kukimbizwa Hospitali, unatakiiwa Upelekwe kwa Sheha kwanza

MY TAKE
Kabla mwaka haujaisha tutasikia Watanganyika wasisome Wazanzibari, wasitumie Boti na barabara pia.. Ndiko twaelekea

Kipindi cha nyuma tulianza kunyimwa hoteli. Unaambiwa vyumba vimejaa hadi uwe na kilemba. Tukifika Zanzibar tukawa tunavaa kama Waislam ili tupate huduma.
View attachment 3611142
Habari zenu zinakanushwa, Tanzania itaendelea kubakia ile ile moja hamuwezi kuivunja kwa huu upuuzi wa kuchukua pesa zinazonuka usaliti kutoka huko nje.
 
Muda mfupi uliopita nilikuwa nazungumza na mzee mmoja mzazibar anasema huyo sada ni mgogo kwao Dodoma mumewe ni Mndengereko wa Kilwa.

These politicians ni wa pumbaavu sana hiyo Zanzibar haina kabila hakuna anayeweza kusimama akasema mimi mzazibar wote wahamiaji hapo.
 
Back
Top Bottom