figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
😅😃😂😄😀😆🤣😁😍😂🤪😁😁😅😅😃😃🦎Kazi na utu,tusonge mbele na huo ndio utu sasa!!
Watu wafate Sheria, mbona hilo liko wazi, kuliko kuendelea kulalamika.Wazanzibar wanadai Bajeti yao ya afya ni ndogo, inawatosha wao tu..
Hivyo kama wewe ni Mtanganyika, ili utibiwe unatakiwa upate barua kadhaa za Masheha.
Hata kama umepata ajali, kabla ya kukimbizwa Hospitali, unatakiiwa Upelekwe kwa Sheha kwanza
View attachment 3611142
Wewe usiahangaike na anye pushi ajenda hangaika na ukweli je huu ni muungano au ni takatakaHi ishu mbona inazidi kuwa serious Nani anapush hizi ajenda kwa hi speed ??
Yeye si umemsikia akisema?kwani mahakamani hapo?Kwa hii clip inathibitisha vp kwamba jamaa kanyimwa huduma
Kokubwa ni kujua kodi za wabara wanazichukua au hawazichukui?ili pia wapate uhalali wa kuwazuia kuwatibuWatu wafate Sheria, mbona hilo liko wazi, kuliko kuendelea kulalamika.
Hospitali Zanzibar ni nyingi.
Mtu ana watoto watano, amekwambia bajeti yangu ya kuwatunza ni laki tano kwa mwaka, wewe kuleta wako anakwambia haitoshi unalalamika.
Solution:
Tanganyika iongeze bajeti ya wizara ya afya Zanzibar ili watu wote wapate huduma toshelevu.
Acha kuwa mdin, chuki zako weka pembeni.Ajenda iko clear, Zanzibar wanataka kuwa nchi ya kiislam na only way kufanikisha hilo ni kujitenga na Tanganyika kwanza
Kazi na utumwa !Kazi na utu,tusonge mbele na huo ndio utu sasa!!
Hivyo kama wewe ni Mtanganyika, ili utibiwe unatakiwa upate barua kadhaa za Masheha.Wazanzibar wanadai Bajeti yao ya afya ni ndogo, inawatosha wao tu..
Hivyo kama wewe ni Mtanganyika, ili utibiwe unatakiwa upate barua kadhaa za Masheha.
Hata kama umepata ajali, kabla ya kukimbizwa Hospitali, unatakiiwa Upelekwe kwa Sheha kwanza
View attachment 3611142
Muulize MkuyaKwa hii clip inathibitisha vp kwamba jamaa kanyimwa huduma