Sababu tunawachukia nyie wabaguzi wakubwaoya nyie jamaa kwanini munasambaza chuki? hii nchi ina watu wa ovyo sana.
AiseeWazanzibar wanadai Bajeti yao ya afya ni ndogo, inawatosha wao tu..
Hivyo kama wewe ni Mtanganyika, ili utibiwe unatakiwa upate barua kadhaa za Masheha.
Kumbuka bado wanaendelea kupokeac kodi ya Watanganyika wanaofanya kazi Zanzibar.
Hata kama umepata ajali, kabla ya kukimbizwa Hospitali, unatakiiwa Upelekwe kwa Sheha kwanza
MY TAKE
Kabla mwaka haujaisha tutasikia Watanganyika wasisome Wazanzibari, wasitumie Boti na barabara pia.. Ndiko twaelekea
Kipindi cha nyuma tulianza kunyimwa hoteli. Unaambiwa vyumba vimejaa hadi uwe na kilemba. Tukifika Zanzibar tukawa tunavaa kama Waislam ili tupate huduma.
View attachment 3611142
Hili linawezekana piaAjenda iko clear, Zanzibar wanataka kuwa nchi ya kiislam na only way kufanikisha hilo ni kujitenga na Tanganyika kwanza
Sababu tunawachukia nyie wabaguzi wakubwa
Propaganda ipi ya uongo?wabaguzi ni nyinyi munaosambaza propaganda za uwongo
Ila viongozi wetu wa chama pendwa wanatuaminisha hamna ubaguzi dhidi Wabara. Ya kwamba, wanaobaguliwa Zanziba ni wageni toka Komoro na Shelisheli. Hii nayo inachangnya sasa.Wazanzibar wanadai Bajeti yao ya afya ni ndogo, inawatosha wao tu..
Hivyo kama wewe ni Mtanganyika, ili utibiwe unatakiwa upate barua kadhaa za Masheha.
Kumbuka bado wanaendelea kupokeac kodi ya Watanganyika wanaofanya kazi Zanzibar.
Hata kama umepata ajali, kabla ya kukimbizwa Hospitali, unatakiiwa Upelekwe kwa Sheha kwanza
MY TAKE
Kabla mwaka haujaisha tutasikia Watanganyika wasisome Wazanzibari, wasitumie Boti na barabara pia.. Ndiko twaelekea
Kipindi cha nyuma tulianza kunyimwa hoteli. Unaambiwa vyumba vimejaa hadi uwe na kilemba. Tukifika Zanzibar tukawa tunavaa kama Waislam ili tupate huduma.
View attachment 3611142
Ila viongozi wetu wa juu wa chama pendwa wanatuaminisha kuwa wanaobaguliwa sio Wabara bali ni wageni toka visiwa vya Shelisheli na Komoro. hii nayo sijui imekaa vipi?Wazanzibar wanadai Bajeti yao ya afya ni ndogo, inawatosha wao tu..
Hivyo kama wewe ni Mtanganyika, ili utibiwe unatakiwa upate barua kadhaa za Masheha.
Kumbuka bado wanaendelea kupokeac kodi ya Watanganyika wanaofanya kazi Zanzibar.
Hata kama umepata ajali, kabla ya kukimbizwa Hospitali, unatakiiwa Upelekwe kwa Sheha kwanza
MY TAKE
Kabla mwaka haujaisha tutasikia Watanganyika wasisome Wazanzibari, wasitumie Boti na barabara pia.. Ndiko twaelekea
Kipindi cha nyuma tulianza kunyimwa hoteli. Unaambiwa vyumba vimejaa hadi uwe na kilemba. Tukifika Zanzibar tukawa tunavaa kama Waislam ili tupate huduma.
View attachment 3611142
Unajivunia ubaguzi? Kwanini ubague mtu.. Yaani nyie Wazanzibari hamnazoIla viongozi wetu wa chama pendwa wanatuaminisha hamna ubaguzi dhidi Wabara. Ya kwamba, wanaobaguliwa Zanziba ni wageni toka Komoro na Shelisheli. Hii nayo inachangnya sasa.
Ila viongozi wetu wa juu wa chama pendwa wanatuaminisha kuwa wanaobaguliwa sio Wabara bali ni wageni toka visiwa vya Shelisheli na Komoro. hii nayo sijui imekaa vipi?
Watu wamechoka muungano fake. Kwenda Zanzibar hadi kitambulisho.Hi ishu mbona inazidi kuwa serious Nani anapush hizi ajenda kwa hi speed ??
Tafuta kitambulisho vinginevyo utapata tabu sana na hakuna mwanasiasa wa kukusaidia hapa Wana push ajenda zao tuuWazanzibar wanadai Bajeti yao ya afya ni ndogo, inawatosha wao tu..
Hivyo kama wewe ni Mtanganyika, ili utibiwe unatakiwa upate barua kadhaa za Masheha.
Kumbuka bado wanaendelea kupokeac kodi ya Watanganyika wanaofanya kazi Zanzibar.
Hata kama umepata ajali, kabla ya kukimbizwa Hospitali, unatakiiwa Upelekwe kwa Sheha kwanza
MY TAKE
Kabla mwaka haujaisha tutasikia Watanganyika wasisome Wazanzibari, wasitumie Boti na barabara pia.. Ndiko twaelekea
Kipindi cha nyuma tulianza kunyimwa hoteli. Unaambiwa vyumba vimejaa hadi uwe na kilemba. Tukifika Zanzibar tukawa tunavaa kama Waislam ili tupate huduma.
View attachment 3611142
Wawe vyovyote wanavyotaka ila Tanganyika irudi wabaki na nchi yao.Ajenda iko clear, Zanzibar wanataka kuwa nchi ya kiislam na only way kufanikisha hilo ni kujitenga na Tanganyika kwanza
Cheti za kuzaliwa cha zanzibar unakipataje ilihali umezaliwa bara ili uwe bima ya afya ya zanzibar unatakiwa uwe na cheti cha kuzaliwa cha zanzibarTafuta kitambulisho vinginevyo utapata tabu sana na hakuna mwanasiasa wa kukusaidia hapa Wana push ajenda zao tuu
Nenda private sector,set up ya Muungano inawatambua wao tuuCheti za kuzaliwa cha zanzibar unakipataje ilihali umezaliwa bara ili uwe bima ya afya ya zanzibar unatakiwa uwe na cheti cha kuzaliwa cha zanzibar
Majibu ya kihuni na kichawaNenda private sector,set up ya Muungano inawatambua wao tuu
Habari zenu zinakanushwa, Tanzania itaendelea kubakia ile ile moja hamuwezi kuivunja kwa huu upuuzi wa kuchukua pesa zinazonuka usaliti kutoka huko nje.Wazanzibar wanadai Bajeti yao ya afya ni ndogo, inawatosha wao tu..