Serikali ya Zanzibar wajibu wake ni kuwahudumia Wazanzibari, Serikali ya Tanzania wajibu wake ni kuwahudumia wa Tanzania.
Sasa tunapoanza kulazimisha serikali ya Zanzibar ihudumie watangayika ni ugonjwa wa akili.
TAtizo la wabongo wengi wapo more emotional kuliko logical