Rasmi: Yanga SC yaishinda Mabavu ya Kifedha Simba SC kwenye usajili wa Masoud Djuma

Kwani kuukosa ubingwa ndo asuse? Au wasisajili? Kama ni mapendekezo ya kocha ni sawa.
 
Lini na wapi Simba imesema ina mpango na huyo mchezaji? Mnazusha habari zenu vijiweni mkishavuta mibangi yenu kisha mnazijadili wenyewe na wachambuzi uchwara wenu. Simba inafanya usajili wake kwa weledi subirini mtangaziwe wacheni kuokoteza stori za vijiweni.
 
Simba ni wazuri kwa scouting ya wachezaji hivi karibuni walitunia mamilioni ya shilingi kwa Chikwende, Peter Maduhlwa, Mugalu(matizo ya goti) Junior Lukosa. Hii ni tafsiri halisi ya timu yenye Scouting Bora kwa apa kwetu kwa mwaka mmoja.
Mzee hata ulaya inatokea embu angalia kwa liver, nabi keita na Chamberlain kila siku wapo hospitali yaani wachezaji wanaumia mazoezini, wapi minamino si kashindwa kushine liver
 
Daaah! Walimwengu mna maneno sana, umefanya nimesahau shida zangu ghafla, nikiwaza kalinyo alivyo anafana pure na huo msosi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Jamaa kwanza njano njano Toka yupo vita ko wala hatumtaki tuna shomy 😁
 
Simba kiukawaida inasajili free agent tu
 
Wewe ndio umeanza kufuatilia soka juzi juzi, maana haujui hata kuwa kabla Kapombe hajaenda Ufaransa na kisha Azam, alikuwa Simba!
 
Wewe ndio umeanza kufuatilia soka juzi juzi, maana haujui hata kuwa kabla Kapombe hajaenda Ufaransa na kisha Azam, alikuwa Simba!

Usikurupuke.

Soma vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…