Rasmi: Yanga SC yaishinda Mabavu ya Kifedha Simba SC kwenye usajili wa Masoud Djuma

Rasmi: Yanga SC yaishinda Mabavu ya Kifedha Simba SC kwenye usajili wa Masoud Djuma

Bora wafanye usajili mzuri wasiwe wanakimbia uwanjani kwa kisingizio Cha kanuni.

Natumai tarehe 3, watakuwepo kupokea tano zao

Naona mmetumia busara kumbakisha mgonjwa wa akili klabuni kisa eti hamuwezi kupata mbadala wake!
 
Shomari Kapombe amekuwa akipata tatizo akiwa tayari ndani ya Simba. Huyu Djuma anasajiliwa na tatizo kabla hata hajaanza kucheza

Sijui ulianza kufuatilia mpira lini.
Ila nikwambie kuwa Kapombe amekuwa akipata majeruhi ya muda mrefu tangu akiwa Azam FC. Hata alipo kwenda Stade Malherbe Caen(Ufaransa) kufanya trial, wazungu walimkuta na matatizo hayo hadi wakaamua kuachana anye arudi Azam Fc.

Hapo ndipo Simba wakaja kumsajili.

Upo hapo!
 
Hapa Watani zangu Yanga wamefanya usajili wa maana
Haijalishi Djuma yuko Yanga kwa mkopo au free agent.

Nijuavyo Simba na Yanga hatuna jeuri ya kuvunja mikataba.

Ndio maana hata Dube tushamkosa
Ukweli mchungu ila ndo ivo

Ngoja tuendelee kuona
Free agent zikichukua nafasi

Kila mchezaji mzuri anaye sajiliwa Yanga SC basi amekuja kwa mkopo. Kuna wahuni mpaka muda huu ana amini Kisinda na Mukoko wako pale Yanga kwa Mkopo. 😂😂
 
Sijui ulianza kufuatilia mpira lini.
Ila nikwambie kuwa Kapombe amekuwa akipata majeruhi ya muda mrefu tangu akiwa Azam FC. Hata alipo kwenda Stade Malherbe Caen(Ufaransa) kufanya trial, wazungu walimkuta na matatizo hayo hadi wakaamua kuachana anye arudi Azam Fc.

Hapo ndipo Simba wakaja kumsajili.

Upo hapo!

Tangu asajiliwe na simba amebeba ndoo ngapi?
 
Nadhani umekosea kutokuzingatia fulaha inayopatikana pale timu inapochukua Ubingwa.

Wana Jangwani wamekuwa na furaha mara 27. Ukilinganisha na Mikia ambao wamekuwa na furaha mara 21 tu. Yaani mara 6 zaidi.

Narudia tena. Mara 6 zaidi.

IMG_0358.jpg

Na hii ni moja ya furaha yenu wana utopolo
 
But he's a typical Proin Injury Half Back.
Kila mchezaji anaye sajilia Yanga SC ni prone Injury.

Kisinda aliitwa prone injury.
Mukoko naye akaita prone injury.
Ntibanzokinza naye ni prone injury.

Sasa Djuma naye anaitwa prone injury.

Mchezaji pekee Yanga SC ambaye hawezi kuitwa prone injury ni Ditram Nchimbi. 😂 😂
 
Hapa unajidanganya mwenyewe au unapunguza hasira tu,djuma hana historia ya injury na ndio maana hata ile injury aliyoipata juzi juzi haijamchukua muda kurudi uwanjani,wiki 3 akarudi uwanjani,kapombe injury kama ile angekaa miezi hata 6,nakujulisha tu pesa aliyonunuliwa ni 46% ya mkataba wenu wa jezi na invisible kassim dewji(vunja bei),hiyo pesa gharib anarudisha kwenye mauzo ya jezi ndani ya wiki 1 tu,simba mlimtaka sana huyu mchezaji but kwa congo kariba ya mchezaji kama yule huwezi kumpata mln 150 au mln 200,kituo kinachofuata egypty then south africa

😂 😂

Atakutukana. Shauri yako!
 
Kwa alichokifanya kwa Shaban Djuma hata mimi nitakuwepo pale Airport.

Kwani kwa kalinyo mbona mliandama kama nyumbu vile mwisho wa siku ilikuwaje mwana utopolo? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kila mchezaji anaye sajilia Yanga SC ni prone Injury.

Kisinda aliitwa prone injury.
Mukoko naye akaita prone injury.
Ntibanzokinza naye ni prone injury.

Sasa Djuma naye anaitwa prone injury.

Mchezaji pekee Yanga SC ambaye hawezi kuitwa prone injury ni Ditram Nchimbi. 😂 😂
Stop wasting my time you Dimwit Okay?
 
Kwani kwa kalinyo mbona mliandama kama nyumbu vile mwisho wa siku ilikuwaje mwana utopolo? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Yaani kwa kawaida ukhusishwa na kuchezea klabu bora yenye mafanikio ki historia kama Dar es Salaam Young Africans ni lazima uwe mfalme by default.

Ko usishangae kupokelewa kwa Carlinhos kwa namna ile.

Hiyo ni tamaduni ya kipekee sana! haa mafanikio yake pale Yanga ya Mabao & Assists amemshinda hadi JAMILA BWALWA.
 
Kwa alichokifanya kwa Shaban Djuma hata mimi nitakuwepo pale Airport.

Mtaendelea kubeba wanaume wenzenu hadi mkome sisi tunabeba ndoo za ligi
Mambo yakienda kombo mnalia tff inaibeba simba kuna mnaongozwa na viongoz wapiga dili shitukeni nyumbu nyie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yaani kwa kawaida ukhusishwa na kuchezea klabu bora yenye mafanikio ki historia kama Dar es Salaam Young Africans ni lazima uwe mfalme by default.

Ko usishangae kupokelewa kwa Carlinhos kwa namna ile.

Hiyo ni tamaduni ya kipekee sana! haa mafanikio yake pale Yanga ya Mabao & Assists amemshinda hadi JAMILA BWALWA.

Kalinyo yuko wapi sasa hivi? Nyumbu fc mnashida sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mtaendelea kubeba wanaume wenzenu hadi mkome sisi tunabeba ndoo za ligi
Mambo yakienda kombo mnalia tff inaibeba simba kuna mnaongozwa na viongoz wapiga dili shitukeni nyumbu nyie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Bado naendelea kuwa na wasi wasi na ufahamu wako wa mpira wa bongo

Dar es salaam Young Africans = 27 tittles

Simba SC = 21 tittles

Na pia nina wasi wasi kama utaweza kuelewa nilichokiandika hapa.
 
Back
Top Bottom