GE2025 Rasmi: Zitto Kabwe anapambana na CHADEMA, lakini Je, ataweza?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Akili ndogo hujadili watu.

Utajisikiaje wakimkosoa namna hii Lissu au kiongozi yeyote unaemkubali wa CDM.

Jifunze kuficha ujinga mbele za watu itakusaidia.
 
FINITO CDM
 
ZITTO ni mmoja kati ya GENGE nyuma ya Samia Suluhu Hassan kubaki madarakani kwa nguvu. Hilo lipo wazi.
 
ZITTO ni mmoja kati ya GENGE nyuma ya Samia Suluhu Hassan kubaki madarakani kwa nguvu. Hilo lipo wazi.
Achaneni na Zitto, pambanieni chadema kiwe hai hadi 2030

Chama kiko ICU nyie bado mnapambana na Zitto hiyo akili gani?
 
Nje ya point kidogo ? Nini dhima ya Vyama vya Siasa ?
  • Kupinga aliyepo madarakani ili wewe utawale ?
  • Au kuungana na watu wenye fikra mawazo sawa ili kupaza sauti zenu ? Pia ikibidi kuungana na wengine katika mambo tofauti tofauti iwapo yanaendana na fikra zako ?
On that token kama Zitto na Chadema wana fikra sawa what is the point of having ACT au kuwa Chama kingine ? Na kama issue ni Upinzani / Kupinga / Kumuondoa CCM nadhani option ilikuwa wapinzani kuungana (as in UKAWA) lakini tunajua hili liliishia wapi.

Ushauri wa bure acheni kungombana wenyewe kwa wenyewe anayefurahia hizi sarakasi ni anayelamba asali muda huu; Hizo ammunition mnazozipoteza kwa kina Zitto, mara Makonda, mara Wassira mara wasanii wa Bongo mara mashabiki wa mpira mngezielekeza kwa Samia na Serikali yake; there is a lot going wrong at the moment which can be rectified huu muda ungekuwa ni wa kuonyesha ni vipi mta rectify.. kwa objectives ambazo ni Smart (Measurable, Achievable, Relevant, and Time-bound)
 
Hakuna mtu hatali kama zzito, zzito ni mdini sana.
 
ACT wako vizuri
 
Hofu ya nini, na kila kitu kinaenda kama kilivyopangwa, endeleeni kudanganywa na mabeberu.
Unavyo jieleza hapa, ni wazi upeo wako ni mfinyu. Hao "mabeberu" unawaingiza humu kwa sababu zipi?
Hujui matendo ya viongozi wenu, Samia na GENGE lake ndio wanawavuta hao mabeberu?
 
Hivi sio nyie ndo mnamwita sijui Mamluki, mara CCM B, mara anatumika nk. Sasa kelele za nini humu. Mnataka awaunge mkono CDM wakati mlishamwita CCM B?
Kila chama kijipambanie kivyake kwani wote wanachotafuta ni kula yao tu. So kila mmoja apambane kivyake
 
Soma andiko pale juu, mbona limejieleza tu kirahisi!
Fanyeni yenu mwacheni. Mkiona inawauma sana basi pambaneni nae. Mkitoka huko mkisikia CHAUMA nao wamefanya mkutano mtakuja hapa kulia tena. Kwani nyie ni nani mpk muwapangie vyama vingine namna ya kufanya siasa zao. Yaani mnaboa nyie utadhani ma last born kwa kulalamika
 
Hoja umeielewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…