GE2025 Rasmi: Zitto Kabwe anapambana na CHADEMA, lakini Je, ataweza?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
hakuna mwanasiasa ambaye siyo mnafiki, ila wanatofautiana kwa scale ya unafiki
 
Zito kwa sasa ni mmbea mpika majungu mwimba Taarabu Akili zake baada ya kuvuta bangi zimekuwa kama za kigaila wa chauma ubwabwa
Kama yeye huwa hashambuliwi kwa maneno basi upo sawa.
 
Zitto ameamua kusindikiza ccm kwenye igizo la uchaguzi safari hii, muda utasema...
Demokrasia sio tu kufanya vile wanavyoona Chadema.

Jifunzeni kukubaliana na misimamo ya wengine pia.

Wao wameona kwa udogo wa Chama chao wanahitaji kufanya wanalofanya kwanini waonekane hawako sawa.

Je kipindi CUF wako onfire na Chadema ikiwa ya kawaida.Je Chadema haikuwa na misuguano na CUF.

Tatizo mnajisahaulisha sana.
 
siasa za uadui na ukabila ni sera ya CDM, ukiwa na mtizamo tofauti na wao unaitwa mpinzani msaliti, hiyo ni rubish dermocracy dermocrazy
 
Nani kawazuia? Muda utasema...
 
..na utaishi ni hicho "kinyesi" for the rest of your life, pls adjust to this reality and u will be OK
hakuna mabaya yasiyo na mwisho , kila jambo lina mwisho wake, ibirisi wa ccm mwisho wao upo jirani Walikuwepo makatili madikiteta hatari akina Elbashiri, Bokasa, Mabutu, Chiluba, iddy Amin Dada, kamuzu Banda, mangistu Haile Marium na wenzao wapo wapi leo ?
 
Hizo tawala ulizotaja the derg regime ya Mengistu etc ni military juntas, huwezi linganisha na democratic CCM.
Since the restoration of the multi-party system, CCM has retained its popularity, winning all the past five general elections in 1995, 2000, 2005, 2010 and 2015. Jakaya Kikwete, its presidential candidate in 2005, won by a landslide receiving more than 80% of the popular vote. In the last election, it won 186 of the 239 constituencies, continuing to hold an outright majority in the National Assembly
 
Objectivity ni sehemu ya maisha yetu,inatusaidia kuona reality, facts, badala ya kuongozwa na emotions vionjo πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
kama uko objective mbona unaishi nje ya reality na uko deeply deluded
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…