GE2025 Rasmi: Zitto Kabwe anapambana na CHADEMA, lakini Je, ataweza?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ukiwa ibirisi wa ccm kisha uonje Damu za watu kuteka kuua watu kuwabambikia kesi za uongo unakuwa mwehi ni vigumu ujue kilicho bora
drama na porojo ni nonsense pia gentleman πŸ’
 
Ukiwa ibirisi wa ccm kisha uonje Damu za watu kuteka kuua watu kuwabambikia kesi za uongo unakuwa mwehi ni vigumu ujue kilicho bora
Kubaliana na reality, huwezi umia, hata kigegeu Kitima sometimes anaujua ukweli
Your browser is not able to display this video.
 
Nandagala ni Kijiji kimojawapo Wilaya ya Ruangwa km Kama 25 hivi kutoka Ruangwa nilipita hapo 2015 kulikuwa na shida ya maji sana vipi hali hii imebadilika ?
Hamna shida tena, na Kuna mradi mkubwa wa maji toka Nyangao mpaka Ruangwa unatekelewaza huko, nilikuwa huko mwishoni mwa mwaka jana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…