instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
Ndo hvo mkuu nawahi home kupikaMkuu mbona unaandika kwa speed km umeazimwa cm...
Au mm ndio sijakuelewa mkuu
Asante kwa kunisaidia mkuuJiulize na Ujijibu kupitia MFano hai
Wake za Maraisi wote kuanzia Nyerere mpaka Magufuli wapo hai
Mme WA Rais mwanamke aliyeko madarakani hayupo hai
Mke kakukaliaa kwa juuNdo hvo mkuu nawahi home kupika
Acha tu mkuuMke kakukaliaa kwa juu
Sawa mku ngoja niacheAcha tu mkuu
Na hasa kutoka kanda fulanifulaniMungu aliwajalia wanawake neema ya kuishi maisha marefu.
Hata ukiangalia mortality rate, utagundua kuwa watoto wa kiume ni delicate kufa kuliko watoto wa kike.
Kwenye hili: Mungu anamakusudi makubwa kwasababu UPENDO WA MAMA always UPO WAZI KWA KILA MTU wanawake, wamezaliwa na upendo Daima ♥️ .
Mungu wabariki wanawake wote Duniani ambao ni viongozi na ambao syo viongozi.
Kama hujui maana ya mortality rate google.
Mfano: wengi Bado tuna bibi zetu ambao tumezaliwa hatujawakuta wababu .
Sijajua nani anaanzaKarume sr alikuwa 39 yrs na Fatma 15 yrs sasa kikawaida nani atake anza kutangulia
Lakini WANAUME tunaangushana wenyewe. Wengi wao wanakufa Kwa pressure na mawazo tu. Maana WANAUME wengi wanaingia kwenye ndoa za watu, unajua kabisaaa kuwa huyu mwanamke kaolewa ila unaanza kumtamani na kutoka nae, mwisho wa siku mwanamke anaanza kumdharau mume wake, na hapo ndoa inaanza kuwa chungu na mwanaume anaingia kwenye mawazo sana. Hivyo, kupelekea kufa taratibu na mwisho anatangulia na mwanamke anabaki. Ukiacha wake wa Viongozi ambao wamefanyiwa tu figisu Kwa waume zao kuuwawa Kwa namna mbalimbali.Mungu aliwajalia wanawake neema ya kuishi maisha marefu.
Hata ukiangalia mortality rate, utagundua kuwa watoto wa kiume ni delicate kufa kuliko watoto wa kike.
Kwenye hili: Mungu anamakusudi makubwa kwasababu UPENDO WA MAMA always UPO WAZI KWA KILA MTU wanawake, wamezaliwa na upendo Daima ♥️ .
Mungu wabariki wanawake wote Duniani ambao ni viongozi na ambao syo viongozi.
Kama hujui maana ya mortality rate google.
Mfano: wengi Bado tuna bibi zetu ambao tumezaliwa hatujawakuta wababu .
Kabisa mkuuLakini WANAUME tunaangushana wenyewe. Wengi wao wanakufa Kwa pressure na mawazo tu. Maana WANAUME wengi wanaingia kwenye ndoa za watu, unajua kabisaaa kuwa huyu mwanamke kaolewa ila unaanza kumtamani na kutoka nae, mwisho wa siku mwanamke anaanza kumdharau mume wake, na hapo ndoa inaanza kuwa chungu na mwanaume anaingia kwenye mawazo sana. Hivyo, kupelekea kufa taratibu na mwisho anatangulia na mwanamke anabaki. Ukiacha wake wa Viongozi ambao wamefanyiwa tu figisu Kwa waume zao kuuwawa Kwa namna mbalimbali.
WANAUME tuheshimu ndoa za wenzetu, tusiingie na kuharibu maisha ya watu.
Umeongea kwa uchungu sana....Lakini WANAUME tunaangushana wenyewe. Wengi wao wanakufa Kwa pressure na mawazo tu. Maana WANAUME wengi wanaingia kwenye ndoa za watu, unajua kabisaaa kuwa huyu mwanamke kaolewa ila unaanza kumtamani na kutoka nae, mwisho wa siku mwanamke anaanza kumdharau mume wake, na hapo ndoa inaanza kuwa chungu na mwanaume anaingia kwenye mawazo sana. Hivyo, kupelekea kufa taratibu na mwisho anatangulia na mwanamke anabaki. Ukiacha wake wa Viongozi ambao wamefanyiwa tu figisu Kwa waume zao kuuwawa Kwa namna mbalimbali.
WANAUME tuheshimu ndoa za wenzetu, tusiingie na kuharibu maisha ya watu.
Siyo kweli wanaume hatuangushani,Na umetaja kigezo kimoja cha ndoa vipi na ambao ndoa haziwatesi mbona wanakufa vile vile hamna ukweli wowote hapaLakini WANAUME tunaangushana wenyewe. Wengi wao wanakufa Kwa pressure na mawazo tu. Maana WANAUME wengi wanaingia kwenye ndoa za watu, unajua kabisaaa kuwa huyu mwanamke kaolewa ila unaanza kumtamani na kutoka nae, mwisho wa siku mwanamke anaanza kumdharau mume wake, na hapo ndoa inaanza kuwa chungu na mwanaume anaingia kwenye mawazo sana. Hivyo, kupelekea kufa taratibu na mwisho anatangulia na mwanamke anabaki. Ukiacha wake wa Viongozi ambao wamefanyiwa tu figisu Kwa waume zao kuuwawa Kwa namna mbalimbali.
WANAUME tuheshimu ndoa za wenzetu, tusiingie na kuharibu maisha ya watu.
Mimi ni MTAKATIFU kabisaaaaa!Umeongea kwa uchungu sana....
Pamoja na uchungu huu utakuta unamfakamia mke wa mtu vibaya sana, wako akiguswa michozi hiyo
Kweli, tunaumizana sanaKabisa mkuu
Lakini kwasasa kutembea na mke wa mtu imekuwa sifa, bila kujua athari zake, kuwa kutembea na mke wa mtu maana yake ni kumuua mwanaume mwenzako