Ratiba hii ya Yanga, TFF Ina jambo lake kwapani

Mbumbumbu katika ubora wak

Ukiwa yanga lazima uwe huna akili kiasi fln hv
Tunafahamu kuwa Karia na wenzake Wana upande wao kama wanadamu, tunajuwa kuwa yeye ni coastal Union na Simba. Hata Mungu ana upande pia, mara nyingi Mungu anasimama upande wa wanaotwezwa, watwana, wanaoonewa. Ndio maana Kuna mambo house girl anakuwa Bora kuliko mtoto wa mwenyenyumba. Yanga inalifahamu hilo kuwa Karia ni mwanachama wa timu zipi ndani na nje ya Tanzania. Mungu TU ndio kikwazo kwake vinginevyo Simba na coastal Union zingekuwa zinashinda kila mchezo na kila mashindano.
 
Yaaani hatupumiiiii 😀 😀 😀 Eti wanataka wahudumiwe ki VIP. Na wao ndo walikua wanasema Simba inapendelewa.
Mungu ibariki Yanga ipate matokeo mazuri dhidi ya Kagera ili watu kiwashuke. Mungu hajawahi kisima upade wa madhalimu. Mungu anahukumu dhamira sio matendo ya mtu. Kama dhamira ya kupanga hivi dhamira ni ovu basi Mungu atairekeshiba hiyo ratiba kwa njia zake mwenyewe.
 
Yaaani hatupumiiiii 😀 😀 😀 Eti wanataka wahudumiwe ki VIP. Na wao ndo walikua wanasema Simba inapendelewa.
VIP? LABDA WAKANUNUE VIJICHUPI VYA ZAMANI VYA KUBANA VILE VIKIKATIKA KWA CHINI VINAPANDA KWAPANI,. hapo watakuwa VIP
 
Wahuni wa TieFueFu inazikumbusha timu za Simba na Yanga zinazoshiriki mashindano ya "CUF" hakutakuwepo na kuhairishwa kwa mechi zao za ligi iwapo mechi inayofuata itakuwa imepishana kwa siku 2, siku ya 3 mechi ya ligi lazima ichezwe hata kama timu imecheza mechi nje ya Bongo.

Ndio maana timu zimeruhusiwa kusajili wachezaji 30, ukiona shida nenda nje ya nchi na wachezaji 18, wachezaji 12 wabakize Bongo .

Je, ilikuwa ni lazima Yanga icheze na Kagera sugar jumapili mwanza? Kwanini mechi isingesogezwa hata kwa siku mbili?
 
Ila hii club ni ya hovyo Sana sijapata kuona ,Kuna kipindi mashabik nyie wenyew mlikuwa mnawaponda tff kuwa wanaipendelea Simba inapewa viporo ,na huku mkijua Simba Ana ratiba ngumu Sana .
Baada ya kulalamika Sana tff wakasikia kilio chenu ,wameamua viporo visiwepo ajabu mnakuja kulialia Tena baada ya kuujua ukweli kuwa tff walikuwa sahihi kuwapa viporo simba ,kucheza kimataifa na ndani lazima timu ichoke .
Bahat iliyooje na nyie mpo makundi Sasa subirin mziki ,na nataman tff wasilegeze iwe kwa Simba au yanga viporo visiwepo kabisa ,na tff wakikaza huu msimu Basi Wanaoenda kuneemeka na hili ni Azam Kama nao watajitambua na watabeba ubingwa kirahis Sana.

Ngoja ifike mwakan ndipo mtaelewa nini namanisha hapa.

Mliona Simba anafaidika Sana ,Sasa na nyie yamewakuta.
Na msijiaminishe kwamba huu msimu mtachukua kombe mkiwa unbeaten ,Hilo sahau kabisa ,vipigo vinakuja huko mbeleni na ligi ni mbichi kabisa hii.

Mpira mliopigiwa na kagera Leo hizo ni dalili za nini kinaenda kutokea kwa upande wa yanga na Simba endapo tff watakaza na nataman iwe ivyo ili mjifunze kitu .
 
Kuandika kote huku umekosea kuifananisha Simba na Yanga.
Simba ni kibonde wa Yanga.
Azam naye ni sawa na mgonjwa mwenye homa za vipindi.
 
Siku Club Africain ilipocheza na Yanga kwamkapa jamaa alikuwa jukwaa kuu karibu na Eng. hers wakiangalia mpira, ulikuwa ukimwangalia usoni jamaa utagubdua kuwa alikuwa amefurhi Yanga kutoka suluhug
Siyo shabiki wa Yanga lakini Kwa hili uko 100% sahihi.
 
Wahuni wa TieFueFu inazikumbusha timu za Simba na Yanga zinazoshiriki mashindano ya "CUF" hakutakuwepo na kuhairishwa kwa mechi zao za ligi iwapo mechi inayofuata itakuwa imepishana kwa siku 2, siku ya 3 mechi ya ligi lazima ichezwe hata kama timu imecheza mechi nje ya Bongo.

Ndio maana timu zimeruhusiwa kusajili wachezaji 30, ukiona shida nenda nje ya nchi na wachezaji 18, wachezaji 12 wabakize Bongo .
Na Coastal Union iliyokuwa na Wachezaji 2 tu u23 tena wakaa benchi wakaahirishiwa Mechi?
 
Back
Top Bottom