PreGE2025 Ratiba: No Reform No Election yahitimishwa Kanda ya Nyasa, Ni Mkutano uliofanyika Iringa Mjini, Msigwa atimua mbio

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Ile kampeni Tukufu ya No Reform No Election kwenye kanda nzito ya Nyasa imehitimishwa leo Mjini Iringa

Pichani ni Tundu Lissu akiwa na Mwenyekiti wa Mkoa wa Iringa, Bilionea William Mungai wakisalimia Wananchi

Screenshot_2025-03-30-19-10-47-1.png

Taarifa zingine zinaeleza kwamba Baada ya kuona Umati wa Wananchi Mchungaji Msigwa alitimua mbio kwa kutumia gari na kutokomea kusikojulikana ili kuepuka Aibu, hasa baada ya kuwadanganya ccm kwamba Ameua Chadema Iringa

Screenshot_2025-03-30-19-10-34-1.png
Screenshot_2025-03-30-19-10-06-1.png
Screenshot_2025-03-30-19-10-25-1.png
 
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Ile kampeni Tukufu ya No Reform No Election kwenye kanda nzito ya Nyasa imehitimishwa leo Mjini Iringa

Pichani ni Tundu Lissu akiwa na Mwenyekiti wa Mkoa wa Iringa, Bilionea William Mungai wakisalimia Wananchi

View attachment 3288049

Taarifa zingine zinaeleza kwamba Baada ya kuona Umati wa Wananchi Mchungaji Msigwa alitimua mbio kwa kutumia gari na kutokomea kusikojulikana
Ety katimua mbio....pwahahahhaaa 🤣🤣😂😂😂
Itakuwa Yuko chocho anawacheki.
 
Hahaha Team Lisu watanuna, Msigwa na CCM walimshambulia Mbowe kumsaidia Lisu.

Baada ya kufanikiwa Msigwa hana kazi tena CCM, hata jukwaani hapandishwi maana hana lolote la kuongea, hana mvuto tena nadhani ccm nao watambwaga.

Sera au majukumu yake ilikuwa Mbowe, sasa Mbowe siyo mwenyekiti tena, Msigwa ataongea nini?

Atatimua Mbio mpaka lini au mpaka wapi?
 
Aliwapiga fix ccm kwamba ameua Chadema Iringa
 
Taarifa zingine zinaeleza kwamba Baada ya kuona Umati wa Wananchi Mchungaji Msigwa alitimua mbio kwa kutumia gari na kutokomea kusikojulikana
Ety katimua mbio....pwahahahhaaa 🤣🤣😂😂😂
Itakuwa Yuko chocho anawacheki.
Unajua alipokuwa amekaa na lilipokuwa gari lake ni distance Kidogo, sasa alivyoona nyomi akatimua mbio Ikangaa anasubiri, hakika hii nchi ina vipaji ila vimepuuzwa tu
 
Aliwapiga fix ccm kwamba ameua Chadema Iringa
Hakuwapiga fix ccm, alikuwa anafanya kazi na CCM bega kwa Bega, lengo lao lilikuwa kumuondoa Mbowe kuidhoofisha CHADEMA, alifanikiwa sasa hata huko CCM wakimpa MIC hana cha kuongea.

Chadema wanafahamu ipo mioyini mwa watanzania siyo kadi na mavazi.

Na Udhalimu wa CCM nchi hii unaijenga CHADEMA mioyoni mwa wa Tanzania na siyo siasa za majukwaani.
 
Kuhusu kuiua chadema aliwadanganya ccm
 
Kuhusu kuiua chadema aliwadanganya ccm
Hakuwadanganya, hiyo ndiyo imani ya CCM miaka yote, Hailikwa jukumu la MSIGWA, Miak yote walishindwa kuiua CHADEMA Na ndio maana hata uchaguzi unauona unavyokuwa, Hata sasa ukiwauliza matokeo ya uchaguzi wa October 2025 Tume ya Uchaguzi wanayo na asilimia zake na washindi wanajulikana, hilo siyo jipya kwetu.
 
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Ile kampeni Tukufu ya No Reform No Election kwenye kanda nzito ya Nyasa imehitimishwa leo Mjini Iringa

Pichani ni Tundu Lissu akiwa na Mwenyekiti wa Mkoa wa Iringa, Bilionea William Mungai wakisalimia Wananchi

View attachment 3288049

Taarifa zingine zinaeleza kwamba Baada ya kuona Umati wa Wananchi Mchungaji Msigwa alitimua mbio kwa kutumia gari na kutokomea kusikojulikana ili kuepuka Aibu, hasa baada ya kuwadanganya ccm kwamba Ameua Chadema Iringa

View attachment 3288061View attachment 3288062View attachment 3288063
Umenichekesha sana eti msigwa atimua mbio!
 
Back
Top Bottom