PreGE2025 Ratiba: No Reform No Election yahitimishwa Kanda ya Nyasa, Ni Mkutano uliofanyika Iringa Mjini, Msigwa atimua mbio

PreGE2025 Ratiba: No Reform No Election yahitimishwa Kanda ya Nyasa, Ni Mkutano uliofanyika Iringa Mjini, Msigwa atimua mbio

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Ile kampeni Tukufu ya No Reform No Election kwenye kanda nzito ya Nyasa imehitimishwa leo Mjini Iringa

Pichani ni Tundu Lissu akiwa na Mwenyekiti wa Mkoa wa Iringa, Bilionea William Mungai wakisalimia Wananchi

View attachment 3288049

Taarifa zingine zinaeleza kwamba Baada ya kuona Umati wa Wananchi Mchungaji Msigwa alitimua mbio kwa kutumia gari na kutokomea kusikojulikana ili kuepuka Aibu, hasa baada ya kuwadanganya ccm kwamba Ameua Chadema Iringa

View attachment 3288061View attachment 3288062View attachment 3288063
Hizi picha sio nzuri kwa afya ya nchi.. Serikali iangalie namna ya kukaa na hawa watu... Aseee msiwachukulie poa hata kidogo... Mbele Sio...
 
..Nasikia Chadema wanaelekea kanda ya Kusini.

..Na ACT tayari wameanza ziara katika kanda hiyo.

..Wananchi wa Kusini wana bahati ya kipekee kupata elimu kuhusu Reforms toka kwa vyama viwili makini kwa wakati mmoja.
Ni bahati ya kipekee sana wameipata Wananchi wa Kusini.
 
Sasa hivi ccm wako hospitalini na dada waliyemtuma kuvuruga mkutano wa cdm. Wanapishana hospitalini na macemera kuonyesha wao ni wema, nadhani leo ni zamu Makallla kulala na mgonjwa, huenda kesho ni zamu ya Chatanda. Wakiona kiki inabuma watamtelekeza kama Msigwa.
Mbowe alikuwa mwiba wa ccm, walivyompata Msigwa kummaliza walimlinda na kumlisha nyama na kumnywesha Pombe, Msigwa alianza kunenepa, sasa hana hoja na hawezi kujenga hoja wamesha mtaliki.
Sijui sasa hivi atamtukana nani ili ccm wampe jukwaa, maana waliopo CHADEMA wote marafiki zake.
 
Back
Top Bottom